Mke anatoa mashuzi usiku kucha; Kuna madhara ninayoweza kuyapata?

Naombeni ushauri wadau, si kwa lengo la kumdharirisha mke Bali kusema ukweli ya kinachojiri.

Aisee mke anayaachia mashuzi, kha!!!
Yaani kazi inaanza dakika hiyo hiyo anayofumba macho na inaisha tu pale anapofumbua, yaani asubuhi anapoamka!

Ajabu ni kuwa Kuna wakati unaweza kudhani anayatoa makusudi maana unahisi kabisa anajikama. Utasikia 'pfuuuuuuuuu.....' halafu kama mtu anayezivuta pumzi apate nguvu na balance tena utasikia anamalizia kwa mkupuo, 'pfuu!'. Na Hali ipo hivyo muda wote. Inanishangaza sana. Salama yangu ipo kwenye kulala tu ndo nakuwa sisikii lolote ingawa sipati picha ni kiwango gani Cha hewa chafu nabugia.......maana dah!

Naomba kujua madhara ya kiafya ninayoweza kuyapata katika Hali kama hii wadau. Muwe na asubuhi njema!
Hahaaa, madhara unayoyapata kwenye mashuzi unayoyapata kwa mwenza wako, kwanza umeshayavuta sana kupitia pua zako kama hewa chafu, kulingana maelezo yako bado unampenda sana, siamini kama unaweza ukamkabidhi mwingine gizani akahakikisha na kuusikia huo ushuzi, nawasilisha
 
Naombeni ushauri wadau, si kwa lengo la kumdharirisha mke Bali kusema ukweli ya kinachojiri.

Aisee mke anayaachia mashuzi, kha!!!
Yaani kazi inaanza dakika hiyo hiyo anayofumba macho na inaisha tu pale anapofumbua, yaani asubuhi anapoamka!

Ajabu ni kuwa Kuna wakati unaweza kudhani anayatoa makusudi maana unahisi kabisa anajikama. Utasikia 'pfuuuuuuuuu.....' halafu kama mtu anayezivuta pumzi apate nguvu na balance tena utasikia anamalizia kwa mkupuo, 'pfuu!'. Na Hali ipo hivyo muda wote. Inanishangaza sana. Salama yangu ipo kwenye kulala tu ndo nakuwa sisikii lolote ingawa sipati picha ni kiwango gani Cha hewa chafu nabugia.......maana dah!

Naomba kujua madhara ya kiafya ninayoweza kuyapata katika Hali kama hii wadau. Muwe na asubuhi njema!
BICHWA KOMWE - comment yako muhimu huku mkuu
 
Dawa ya moto ni moto mkuu
 
Itakua nati zimeachia.
 
Ushuzi ni afya usiogope, hata mtu akifanyiwa operation kubwa akitoka salama anaulizwa ushajamba? Akisema Yes ndio daktari anasema operation was successfully na anaondoa mashaka ya complications
 
Naombeni ushauri wadau, si kwa lengo la kumdharirisha mke Bali kusema ukweli ya kinachojiri.

Aisee mke anayaachia mashuzi, kha!!!
Yaani kazi inaanza dakika hiyo hiyo anayofumba macho na inaisha tu pale anapofumbua, yaani asubuhi anapoamka!

Ajabu ni kuwa Kuna wakati unaweza kudhani anayatoa makusudi maana unahisi kabisa anajikama. Utasikia 'pfuuuuuuuuu.....' halafu kama mtu anayezivuta pumzi apate nguvu na balance tena utasikia anamalizia kwa mkupuo, 'pfuu!'. Na Hali ipo hivyo muda wote. Inanishangaza sana. Salama yangu ipo kwenye kulala tu ndo nakuwa sisikii lolote ingawa sipati picha ni kiwango gani Cha hewa chafu nabugia.......maana dah!

Naomba kujua madhara ya kiafya ninayoweza kuyapata katika Hali kama hii wadau. Muwe na asubuhi njema!
Ajaribu kupunguza ulaji wa vyakula vya gesi kuondoa tatizo..

Kuhusu madhara sifahamu maana kutoa ushuzi ni tabia ya mwanadamu
 
Back
Top Bottom