Mke anatoa mashuzi usiku kucha; Kuna madhara ninayoweza kuyapata?

Mke anatoa mashuzi usiku kucha; Kuna madhara ninayoweza kuyapata?

Kuna mtu mmoja mwenye hekima aliwahi kusema
" kamwe usisinzie mbele za watu , maana ukisinzia na viungo navyo vinasinzia"
 
Watu wengi wajinga humu, wamekimbilia kwenye upande hasi tu. Hamuwezi kufikiri kama kuna tatizo linalotakiwa ushauri wa kitaalamu akapewa mhusika. Fikiria kila baada ya dakika tano unapiga shuti.

Ndugu mpeleke hospital, utapatiwa ushauri mahsusi, pia kawa ulivyo shauriwa na wadau angalia vya kula, fanya detox, deworm, anywe maji mengi na kupunguza vinywaji vyenye asidi kama soda, juice za viwandani.
Ahsante sana mkuu. Ni kweli humu watu wanakurupuka sana kulaumu
 
Naombeni ushauri wadau, si kwa lengo la kumdharirisha mke Bali kusema ukweli ya kinachojiri.

Aisee mke anayaachia mashuzi, kha!!!
Yaani kazi inaanza dakika hiyo hiyo anayofumba macho na inaisha tu pale anapofumbua, yaani asubuhi anapoamka!

Ajabu ni kuwa Kuna wakati unaweza kudhani anayatoa makusudi maana unahisi kabisa anajikama. Utasikia 'pfuuuuuuuuu.....' halafu kama mtu anayezivuta pumzi apate nguvu na balance tena utasikia anamalizia kwa mkupuo, 'pfuu!'. Na Hali ipo hivyo muda wote. Inanishangaza sana. Salama yangu ipo kwenye kulala tu ndo nakuwa sisikii lolote ingawa sipati picha ni kiwango gani Cha hewa chafu nabugia.......maana dah!

Naomba kujua madhara ya kiafya ninayoweza kuyapata katika Hali kama hii wadau. Muwe na asubuhi njema!
Hiyo ni fursa, tajirika kwa kutega na kunasa hewa ukaa, wengi hivi sasa wanatajirika kwa kuingia kwenye biashara hiyo, ninaamini kuna siku atakulaumu kwa kutokusanya hewa ukaa hiyo aliyokuwa akiizalisha.
 
Tatizo unamlisha maharage sana; awe anakula supu ya sato mzima kila siku hiyo hali itapotea
 
Kuna mzee mmoja alinambia, "Ogopa sana mwanamke ambae hajawahi kukujambia mbele yako." Kama hakujambii wewe basi ujue kuna mtu anajambiwa. So she is right, Ujue kakuamini sana.
 
Nipe namba zake nimkanye mkuu,

Kwa kweli kuna shida mahali
 
Mkeo akijamba unakuja kusimulia kwenye Jamii forums? Kwanini huwa mnaoa wakati bado hamjabalehe lakini? Unaoa ili iweje?
Usipanic mkuu, soma kwa kutulia uelewe mada. Nimefichua details za mke huyo?
 
Back
Top Bottom