Mke anatoa mashuzi usiku kucha; Kuna madhara ninayoweza kuyapata?

Anti Flatulence zipo . mpatie ana tatizo la Gesi. Pia Azingatie kula na kunywa maji. Ja asile na kulala muda huo huo.

Tumeric na Ginger zitamsaidia labda kama unataka wadau wakuambie/wakuthibitishie kuwa anataka umle ndogo.
 
lazima uwe mstahimuluvu sana kwenye ndoa,
zile shida na raha za ndoa ni pamoja na hizo sasa, lazima ukubali kuishi nazo.

infact,
hiyo hali haina madhara makubwa kiafya bali inachangamsha ndoa tu chumbani,

hizo ngurumo labda ndio kidogo zina athari kwasababu ni noise pollution gentleman
 
Hakuna madhara mkuu ila ni kikohozi na mafua tu ya hapa na pale...
 
Dah kwenye ndoa kuna visa saana wengine hawapendi kijambo wengine wanashindana kujamba wengine wananusiana hadi mashuzi yaani ni tafrani.
Mkuu kujamba ni ishara ya unene soon mkeo anakuwa chibonge
 
Watu wengi wajinga humu, wamekimbilia kwenye upande hasi tu. Hamuwezi kufikiri kama kuna tatizo linalotakiwa ushauri wa kitaalamu akapewa mhusika. Fikiria kila baada ya dakika tano unapiga shuti.

Ndugu mpeleke hospital, utapatiwa ushauri mahsusi, pia kawa ulivyo shauriwa na wadau angalia vya kula, fanya detox, deworm, anywe maji mengi na kupunguza vinywaji vyenye asidi kama soda, juice za viwandani.
 
We jamaa kwa akili hizi ilikuwaje ukaoa...na huyo Mke aliyekukubali bila shaka Dishi lake halipo vizuri.
Nyie kabla ya kuoana (kama una mke) mlianzisha mada mbalimbali mambo ya ushuzi yakiwemo?!! Mimi wangu aliangalia uimara wa upelekaji wa moto. Mkuu, Kuna madhara ya kuvuta hewa yenye ushuzi?!!
 
Mashuzi ya kawaida toka kwa binadamu husababishwa na kiwango kikubwa cha protein iliyo zidi mwilini, (excess protein), protein husababishwa na kula nyama na chakula jamii ya kunde hutoka mwili kwanjia ushuzi

Cha kushangaza ni pale mkeo anajamba akisinzia ama kulala hapo tupate mawazo ya madaktari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…