Mke anatoa mashuzi usiku kucha; Kuna madhara ninayoweza kuyapata?

Mke anatoa mashuzi usiku kucha; Kuna madhara ninayoweza kuyapata?

Naombeni ushauri wadau, si kwa lengo la kumdharirisha mke Bali kusema ukweli ya kinachojiri.

Aisee mke anayaachia mashuzi, kha!!!
Yaani kazi inaanza dakika hiyo hiyo anayofumba macho na inaisha tu pale anapofumbua, yaani asubuhi anapoamka!

Ajabu ni kuwa Kuna wakati unaweza kudhani anayatoa makusudi maana unahisi kabisa anajikama. Utasikia 'pfuuuuuuuuu.....' halafu kama mtu anayezivuta pumzi apate nguvu na balance tena utasikia anamalizia kwa mkupuo, 'pfuu!'. Na Hali ipo hivyo muda wote. Inanishangaza sana. Salama yangu ipo kwenye kulala tu ndo nakuwa sisikii lolote ingawa sipati picha ni kiwango gani Cha hewa chafu nabugia.......maana dah!

Naomba kujua madhara ya kiafya ninayoweza kuyapata katika Hali kama hii wadau. Muwe na asubuhi njema!
Mbona na ww unaachia ushuzi sema tu hajasema? Ni kawaida kuachia ushuzi usingizini ndio maana waswahili wanasema usilale mchana mbele za watu hahahah.

Kama huachii ushuzi usingizini basi utakuwa na shida
 
Mkeo chakula cha Wahuni na wanampiga sana nyuma, pole in advance hapo nenda ukampime malinda atakua na bawasiri isiyotibika
 
Back
Top Bottom