Mke anaunguza chakula kila siku

Kwa nionavyo hapo shida n gesi. Mwenzio kazoea kupikia kuni thats y anafungua gesi. Tafta kuni muekee mafiga apambane nayo kama wiki. If kisipoungua, beba familia mhsmie porini kuni ni za kutosha
 
Oa mke wa pili anaejua kupika
 
Last born hao kwao kuna housegirl ww umemchukua bila kumuwekea housegirl shida ndo inaanza hapo.
 
Ulikua na wazo sahihi ukalitekeleza kwa usahihi kwa muda sahihi ila kwa mtu sio sahihi mkuu. Haiwezekani aunguze chakula kila wakati, anafanya makusudi huyo sio chaguo sahihi ktk maisha yako, huamini mlete beki 3 anaejua kupika uone kama Urusi na Ukrein kama haijahamia hapo kwako, wanawake ni mashetani.
 
Tuanzie hapa kwanza:- ndoa ina muda gani ? Ili tujue tunakushauri vipi usije fanya maamuzi magumu zaidi kashetani kakutimua wanawake kabaya sana unaweza timua hata wanawake 10 na kila mwanamke anachangamoto zake ikumbukwe iyo
Miaka mitatu
 
Kama kwenye chakula hicho hataki kuelekezwa sipati picha kwenye kile chakula kingine, ndo mambo ya ndoa hayo. Mtafutie kitabu cha mapishi au video za mapishi huenda akarekebishika.
 
Miaka mitatu
Miaka mitatu yote hajui kupika duh,,,ile miezi sita ya mwanzo ulipaswa umkomalie ajue umfundishe au umpeleke shule ya upishi, kutokujua kitu siyo kosa ila kutotaka kujifunza ili ajue ni changamoto sasa wakija wazazi wenu au ndugu kuwatembelea mzee baba ndo unaingia jikoni au,,,,polee

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…