Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Nikirudi kutoka Nyamisisye nataka unipikie tena.πππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787] supu ya kabeji na vitumbua
[emoji16][emoji16][emoji16] kesho andaa tumbo tuNikirudi kutoka Nyamisisye nataka unipikie tena.[emoji23][emoji23][emoji23]
Nataka unikate kucha kwa upole,unibembeleze nijidekeze kama zuzu,halafu nile polepole.Nikishuta unipe pole na kuniuliza kama sijaumia kama kawaida yako.πππππππππ[emoji16][emoji16][emoji16] kesho andaa tumbo tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole sanaMke wangu ananipikia chakula kilichoungua kila siku. Nimejaribu kumfundisha lakini amekuwa mkaidi kufuata maelekezo yangu. Hataki kufundishwa wala kuelekezwa chochote. Kama mnavyofahamu vyakula ni gharama sana. Imekuwa kama nateketeza pesa zangu kwa kumwaga vyakula vilivyoungua kila siku. Amekuwa akikoroga wali hata mara 10 na ninapomwelekeza anakuwa jeuri. Moto wa gesi anawasha kama anataka kuchoma sufuria na sio kupika chakula, Sasa nataka ushauri nimrudishe kwao ama lah.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Nataka unikate kucha kwa upole,unibembeleze nijidekeze kama zuzu,halafu nile polepole.Nikishuta unipe pole na kuniuliza kama sijaumia kama kawaida yako.[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aaahhh[emoji87][emoji87][emoji28][emoji23]Mke asiye jua kupika hapana kwa kweli, ina maana mkuu uliingia kichwa kichwa bila "pre season"
Ndo apambane na shape lake sasaMatatizo ya kuangalia chura na shape pamoja na rangi ndo hayo.
Mnunulie Kuku uone kama atauguza tenaMke wangu ananipikia chakula kilichoungua kila siku. Nimejaribu kumfundisha lakini amekuwa mkaidi kufuata maelekezo yangu. Hataki kufundishwa wala kuelekezwa chochote. Kama mnavyofahamu vyakula ni gharama sana. Imekuwa kama nateketeza pesa zangu kwa kumwaga vyakula vilivyoungua kila siku. Amekuwa akikoroga wali hata mara 10 na ninapomwelekeza anakuwa jeuri. Moto wa gesi anawasha kama anataka kuchoma sufuria na sio kupika chakula, Sasa nataka ushauri nimrudishe kwao ama lah.
Tanunua mpya.Shule zinafungua jumatatu unakumbuka ulipoweka daftari?
Vyote ndugu yangumkuuuu!anaunguza Hadi kuku au ni makande tuuuπ
Inawezekana kiongoziKinacho nishangaza Mimi ni kuwa hataki kuelekezwa! Mkuu isije ikawa anatafuta sababu umuache Ila wewe ujashtukia! Inafikirisha sana ujue...
Mpeleke akajifunze mapishi.... ikishindikana muite somo wake aje amfundishe atakuja akuaibishe kwa ndugu zakoMke wangu ananipikia chakula kilichoungua kila siku. Nimejaribu kumfundisha lakini amekuwa mkaidi kufuata maelekezo yangu. Hataki kufundishwa wala kuelekezwa chochote. Kama mnavyofahamu vyakula ni gharama sana.
Imekuwa kama nateketeza pesa zangu kwa kumwaga vyakula vilivyoungua kila siku. Amekuwa akikoroga wali hata mara 10 na ninapomwelekeza anakuwa jeuri. Moto wa gesi anawasha kama anataka kuchoma sufuria na sio kupika chakula, Sasa nataka ushauri nimrudishe kwao ama lah.
Hawa ndio wale hawajui kutongoza hata mke anatafutiwa kama ndugu zangu wadigo sema wao afadhali mapishi wanawezaMke asiye jua kupika hapana kwa kweli, ina maana mkuu uliingia kichwa kichwa bila "pre season"
Njia sahihi ni ampeleke kwao wakiuliza nini sababu awaambie hajui kupika ni aibu mwanamke kurudishwa hujui kupika ndani ya wiki atapiga simu anataka kurudiMpeleke akajifunze mapishi.... ikishindikana muite somo wake aje amfundishe atakuja akuaibishe kwa ndugu zako