Mke anaunguza chakula kila siku

Mke anaunguza chakula kila siku

[emoji16][emoji16][emoji16] kesho andaa tumbo tu
Nataka unikate kucha kwa upole,unibembeleze nijidekeze kama zuzu,halafu nile polepole.Nikishuta unipe pole na kuniuliza kama sijaumia kama kawaida yako.๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mke wangu ananipikia chakula kilichoungua kila siku. Nimejaribu kumfundisha lakini amekuwa mkaidi kufuata maelekezo yangu. Hataki kufundishwa wala kuelekezwa chochote. Kama mnavyofahamu vyakula ni gharama sana. Imekuwa kama nateketeza pesa zangu kwa kumwaga vyakula vilivyoungua kila siku. Amekuwa akikoroga wali hata mara 10 na ninapomwelekeza anakuwa jeuri. Moto wa gesi anawasha kama anataka kuchoma sufuria na sio kupika chakula, Sasa nataka ushauri nimrudishe kwao ama lah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole sana
 
Mmeishi miaka mitatu leo ndio umrudishe sababu ya kupika!!! Kuna sababu nyingine hapo. Mimi ingekuwa hivyo wiki mbili za mwanzo zilitosha kumrudisha.
 
Nataka unikate kucha kwa upole,unibembeleze nijidekeze kama zuzu,halafu nile polepole.Nikishuta unipe pole na kuniuliza kama sijaumia kama kawaida yako.[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Mke wangu ananipikia chakula kilichoungua kila siku. Nimejaribu kumfundisha lakini amekuwa mkaidi kufuata maelekezo yangu. Hataki kufundishwa wala kuelekezwa chochote. Kama mnavyofahamu vyakula ni gharama sana. Imekuwa kama nateketeza pesa zangu kwa kumwaga vyakula vilivyoungua kila siku. Amekuwa akikoroga wali hata mara 10 na ninapomwelekeza anakuwa jeuri. Moto wa gesi anawasha kama anataka kuchoma sufuria na sio kupika chakula, Sasa nataka ushauri nimrudishe kwao ama lah.
Mnunulie Kuku uone kama atauguza tena
 
Shida hajui namna ya kupika chakula kitam/kizuri au anaunguza chakula kwa hyo gesi anayowasha Kama anataka kuchoma sufuria? All in all sio sababu kuacha mke hii yanazungumzka, Kuna mengi hujayaona bado
 
Kinacho nishangaza Mimi ni kuwa hataki kuelekezwa! Mkuu isije ikawa anatafuta sababu umuache Ila wewe ujashtukia! Inafikirisha sana ujue...
 
Mke wangu ananipikia chakula kilichoungua kila siku. Nimejaribu kumfundisha lakini amekuwa mkaidi kufuata maelekezo yangu. Hataki kufundishwa wala kuelekezwa chochote. Kama mnavyofahamu vyakula ni gharama sana.

Imekuwa kama nateketeza pesa zangu kwa kumwaga vyakula vilivyoungua kila siku. Amekuwa akikoroga wali hata mara 10 na ninapomwelekeza anakuwa jeuri. Moto wa gesi anawasha kama anataka kuchoma sufuria na sio kupika chakula, Sasa nataka ushauri nimrudishe kwao ama lah.
Mpeleke akajifunze mapishi.... ikishindikana muite somo wake aje amfundishe atakuja akuaibishe kwa ndugu zako
 
Mke asiye jua kupika hapana kwa kweli, ina maana mkuu uliingia kichwa kichwa bila "pre season"
Hawa ndio wale hawajui kutongoza hata mke anatafutiwa kama ndugu zangu wadigo sema wao afadhali mapishi wanaweza
 
Mpeleke akajifunze mapishi.... ikishindikana muite somo wake aje amfundishe atakuja akuaibishe kwa ndugu zako
Njia sahihi ni ampeleke kwao wakiuliza nini sababu awaambie hajui kupika ni aibu mwanamke kurudishwa hujui kupika ndani ya wiki atapiga simu anataka kurudi

Hapo lazima aone mabadiliko
 
Back
Top Bottom