Mke anaweza kuchepuka hali yakuwa ananyonyesha mtoto wa mwaka?

Mke anaweza kuchepuka hali yakuwa ananyonyesha mtoto wa mwaka?

Nimegundua watu wa JF wanaweza kufanya ujiue/uue/ ama umtaliki mkeo hivi hivi kupitia comments zao

Kama Mkeo anatoka akiwa amembeba mtoto, na hali ya usafiri ulivyo mgumu hapa Mjini

Hivi kweli akirudi nyumbani atakuwa na hamu za kutomb*** kweli?

Sio kila Mwanamke anasaliti

Wengine husumbuliwa na uchovu tu wa Siku nzima

Na for your information, Mwanamke akiwa ananyonyesha huwa anatoa penzi Kwa Mume wake kwaajili tu ya kumfurahisha Mume wake

Ila yeye hainjoi sana tendo Kwa maana muda mwingi anakuwa anamuwazia mtoto wake labda ataamka kabla Mume hajakojoa ama vipi

Muamini mkeo brother
 
Mkuu hii Ina ushahidi wowote wa kisayansi? Hata hapa nilipo Wana Imani hiyo ila Mimi Nina ex wangu ana WATOTO kadhaa na ameolewa. WATOTO wake wakifikisha miezi 8 tunaanza michezo na wako vizuri usipime ndiyo maana nauliza mkuu kama Kuna ushahidi wa kisayansi
Mkuu ushahidi haupo hata Mimi inanishangaza lkn hii kitu ipo na naweza kukuorodheshea dalili za mtoto alieathilika na jambo Hilo anakuwaje. Kuhusu ex wako nadhani hajakuweka wazi kipi huwa anafanya baada ya kumaliza michezo yenu,
 
Umehama mada boss, tunazungumzia kutoka nje ya ndoa huku una mtoto anayenyonya. Si kwa mwanamke tu ni kwa mwanaume pia ww kawale Malaya huko halafu Rudi nyumbani pakata mtoto hujaoga
Mwanaume amelala na malaya, akarudi nyumbani akaoga. Nambie hapo madhara yanampataje mtoto
 
Habar wakuu

Nauliza mke akiwa ananyonyesha mtoto wa mwaka moja anaweza chepuka Hali ananyonyshe,

Maana mke hutoka na mtoto mida ya mchana kwenda kwa ndgu zake,Sasa kama mara mbili hivi siku tofauti ndani ya wiki moja ametoka na mtoto akirud ikifika usiku ukimuhitaji anapotezea au akwambie subiria kidogo apumzike , ndo inapota hiyo..

Sasa hii inanipa wasiwasi Kuna namna labda anakua kachepuka

Wa.taalamu wahizi mambo mnasemaje
Ndio kuna jamaa wana fantasy ya kupakatwa kuvishwa nepi na kunyonya maziwa ya mtoto....mie mwenyewe mmoja wapo.
Kuwa makini bro mke atakuwa anagegedwa
 
Mkuu ushahidi haupo hata Mimi inanishangaza lkn hii kitu ipo na naweza kukuorodheshea dalili za mtoto alieathilika na jambo Hilo anakuwaje. Kuhusu ex wako nadhani hajakuweka wazi kipi huwa anafanya baada ya kumaliza michezo yenu,
Unasema kabisa huna ushahidi ila bado umekomaa tuu 😂 dah ila ww jamaa bhana 🙌

Haya taja hizo dalili.
 
Mkuu hata Mimi naona ni Imani tu,hakuna ushahidi wa kisayansi
H ishu ilianzia zamani kwa mababu walikuwa wanazaliana ili wapate watoto wengi kwa ajili ya kulima shamba kwa wanaume na wasichana waolewe ili wapate ng'ombe au mali kama mahari.

Serikali ikaanza kusambaza hayo mambo ya kubemenda ili wanaume wawaache wanawake wao wadeal kulea mtoto huku nae akirudisha mwili baada ya kujifungua, hvy waliwaambia wanaume kuwa ukimgusa mkeo au ukilala na mwanamke wa nje then ukaja kwa mkeo utafanya mtoto aumwe na kupelekea kufa hvy wanaume wakaanza kuogopa mana watakosa watoto wa kulima shamba na wasichana kwa ajili ya kuleta mali (mahari).


issac77 usipoelewa na hapa, bc siwezi Kukuelewesha tena mana utakuwa umeamua kutokuelewa.
 
Unasema kabisa huna ushahidi ila bado umekomaa tuu 😂 dah ila ww jamaa bhana 🙌

Haya taja hizo dalili.
Mtoto anahala kinyesi mithiri ya mlenda, anakunya ovyo bila breki, uso unapauka, nywele zinakuwa laini, mwili unakosa nguvu, hata kama alikuwa ameanza hatua ya kutembea anarudi nyuma kutambaa. Nazungumzia kitu nimekishuhudia na nimekiona
 
H ishu ilianzia zamani kwa mababu walikuwa wanazaliana ili wapate watoto wengi kwa ajili ya kulima shamba kwa wanaume na wasichana waolewe ili wapate ng'ombe au mali kama mahari.

Serikali ikaanza kusambaza hayo mambo ya kubemenda ili wanaume wawaache wanawake wao wadeal kulea mtoto huku nae akirudisha mwili baada ya kujifungua, hvy waliwaambia wanaume kuwa ukimgusa mkeo au ukilala na mwanamke wa nje then ukaja kwa mkeo utafanya mtoto aumwe na kupelekea kufa hvy wanaume wakaanza kuogopa mana watakosa watoto wa kulima shamba na wasichana kwa ajili ya kuleta mali (mahari).


issac77 usipoelewa na hapa, bc siwezi Kukuelewesha tena mana utakuwa umeamua kutokuelewa.
Kaa hivyo hivyo kijana tusiendekeze ligi ya kubishana
 
Back
Top Bottom