Mke anaweza kuchepuka hali yakuwa ananyonyesha mtoto wa mwaka?

Mke anaweza kuchepuka hali yakuwa ananyonyesha mtoto wa mwaka?

Humjui mwanamke wewe hata akiwa na wiki anaweza kutoa mzigo ila inategemea tu kuwa ana target kupata kitu gani. Kumaa kwa mwanamke ni dhamana iliyo wazi muda wowote kama ulikua hujui. Sasa hivi ikitokea ghafla umeshikikiliwa na majambazi wakamuamrisha mkeo Atoe kumaa uachiwe kama aanakupenda anatoa muda huo huo.
 
Habar wakuu

Nauliza mke akiwa ananyonyesha mtoto wa mwaka moja anaweza chepuka Hali ananyonyshe,

Maana mke hutoka na mtoto mida ya mchana kwenda kwa ndgu zake,Sasa kama mara mbili hivi siku tofauti ndani ya wiki moja ametoka na mtoto akirud ikifika usiku ukimuhitaji anapotezea au akwambie subiria kidogo apumzike , ndo inapota hiyo..

Sasa hii inanipa wasiwasi Kuna namna labdazJF ZIMM anakua kachepuka

Wataalamu wahizi mambo mnasemaje
Hii JF imevsmiwa sasa
 
Habar wakuu

Nauliza mke akiwa ananyonyesha mtoto wa mwaka moja anaweza chepuka Hali ananyonyshe,

Maana mke hutoka na mtoto mida ya mchana kwenda kwa ndgu zake,Sasa kama mara mbili hivi siku tofauti ndani ya wiki moja ametoka na mtoto akirud ikifika usiku ukimuhitaji anapotezea au akwambie subiria kidogo apumzike , ndo inapota hiyo..

Sasa hii inanipa wasiwasi Kuna namna labda anakua kachepuka

Wataalamu wahizi mambo mnasemaje
Ushapigwa kipapai😂😂mbususu kuna mtu anapelekewa
 
Back
Top Bottom