issac77
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 5,850
- 12,742
Aah wapiLakini bado vitoto vinadhoofu
Aah wapiLakini bado vitoto vinadhoofu
Endelea kubishaWiki bado anatoka uchafu wa uzazi uliingiza wapi sasa
Kwahy ukiona hvy ujue mke au mume ametoka nje? 😂 Dah ww jamaa aisee kazi unayo 😂Mtoto anahala kinyesi mithiri ya mlenda, anakunya ovyo bila breki, uso unapauka, nywele zinakuwa laini, mwili unakosa nguvu, hata kama alikuwa ameanza hatua ya kutembea anarudi nyuma kutambaa. Nazungumzia kitu nimekishuhudia na nimekiona
Huyo dogo mbishi kinoma, huyu atakuwa muha huyu 😂Umeishia darasa la ngapi boss wangu tuanzie hapa
Mimi sio msukuma bintiAnakuaje? Haah.wasukuma bwana
Aahhh wee hiyo sio imani kubemenda watoto kupo, mtoto afya inachange kabisa anahara, anazubaa yaan anakuwa kama ana malnutrition, maana yale mauchafu ya wanaume wengine yanaingia mwilini na mtoto ananyonya, vile vile mwanaume akiwa anachepuka afu anarudi kushiriki tendo na mkewe mtoto anaharibika sio nzuri kuchanganya mishahawa na joto ya watu tofauti na baba na mama afu mtoto anyonyeH ishu ilianzia zamani kwa mababu walikuwa wanazaliana ili wapate watoto wengi kwa ajili ya kulima shamba kwa wanaume na wasichana waolewe ili wapate ng'ombe au mali kama mahari.
Serikali ikaanza kusambaza hayo mambo ya kubemenda ili wanaume wawaache wanawake wao wadeal kulea mtoto huku nae akirudisha mwili baada ya kujifungua, hvy waliwaambia wanaume kuwa ukimgusa mkeo au ukilala na mwanamke wa nje then ukaja kwa mkeo utafanya mtoto aumwe na kupelekea kufa hvy wanaume wakaanza kuogopa mana watakosa watoto wa kulima shamba na wasichana kwa ajili ya kuleta mali (mahari).
issac77 usipoelewa na hapa, bc siwezi Kukuelewesha tena mana utakuwa umeamua kutokuelewa.
Nadhani siku ukikua ukawa na familia utaelewa mengi, kwa ss Baki hivyo hivyoKwahy ukiona hvy ujue mke au mume ametoka nje? 😂 Dah ww jamaa aisee kazi unayo 😂
Ndio. Nisaikolojia tu ndo ilikua inanitesaWee ulishapona tatizo lako la nguvu za kiume? Jibu kwani.
Nadhani siku ukikua ukawa na familia utaelewa mengi, kwa ss Baki hivyo hivyo
Muwe na usiku mwema wakuuAahhh wee hiyo sio imani kubemenda watoto kupo, mtoto afya inachange kabisa anahara, anazubaa yaan anakuwa kama ana malnutrition, maana yale mauchafu ya wanaume wengine yanaingia mwilini na mtoto ananyonya, vile vile mwanaume akiwa anachepuka afu anarudi kushiriki tendo na mkewe mtoto anaharibika sio nzuri kuchanganya mishahawa na joto ya watu tofauti na baba na mama afu mtoto anyonye
Mwambie huyo dogo Mbaga Jr anashupaza shingo anajifanya anajua sana kuliko sisi kaka zake tuliomtangulia kuliona juaAahhh wee hiyo sio imani kubemenda watoto kupo, mtoto afya inachange kabisa anahara, anazubaa yaan anakuwa kama ana malnutrition, maana yale mauchafu ya wanaume wengine yanaingia mwilini na mtoto ananyonya, vile vile mwanaume akiwa anachepuka afu anarudi kushiriki tendo na mkewe mtoto anaharibika sio nzuri kuchanganya mishahawa na joto ya watu tofauti na baba na mama afu mtoto anyonye
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] njoo.dmHabar wakuu
Nauliza mke akiwa ananyonyesha mtoto wa mwaka moja anaweza chepuka Hali ananyonyshe,
Maana mke hutoka na mtoto mida ya mchana kwenda kwa ndgu zake,Sasa kama mara mbili hivi siku tofauti ndani ya wiki moja ametoka na mtoto akirud ikifika usiku ukimuhitaji anapotezea au akwambie subiria kidogo apumzike , ndo inapota hiyo..
Sasa hii inanipa wasiwasi Kuna namna labda anakua kachepuka
Wataalamu wahizi mambo mnasemaje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukikubali kuoa tegemea lolote lile kutoka kwa mwanamke.......
Ukubwa wa kifua chako ndio utaamua ubakie kwenye ndoa au mgawane mbao.....
Mtoto wa mwaka mmoja ni mkubwa Sana kwa mwanamke mzinzi......
Wenzako washawahi kunyonya maziwa kwenye mambo ya kuonyeshana mahaba wakajikuta wameshiba chakula cha mtoto.....
Usibishane na watu ambao hawana experience yakiwapata tunasubir Uzi ukiwekwa😹😹🙌🏾Anastasia21 nimevamia Chaka la wasomi walioambiwa waende veta njoo unisaidie kuwaelewesha
Una uhakika? Km ingekua umepona, basi usingekua na fikra potofu kuhusu mkeo.Ndio. Nisaikolojia tu ndo ilikua inanitesa