Mke anaweza kuchepuka hali yakuwa ananyonyesha mtoto wa mwaka?

Mke anaweza kuchepuka hali yakuwa ananyonyesha mtoto wa mwaka?

Kama wewe unaomba mzigo na anaweza kukupa.

Kipi kitamuzuia mwanmke mpumbavu kumpa mchepuko.

Lakini upande mwingine zinaweza kuwa ni hisia zako mbaya.
Wanawake wengine hamu huwa zinaisha wakiwa wananyonyesha.
 
Hivi hii kesi inakuwaje kwa wale wababa waliobambikiwa watoto? Mbona wao hawawadhuru watoto ilhali sio damu yao?
Hili suala huwa ni kwa kipindi kile mama ananyonyesha ikisha pita kipindi hiyo mtoto hawezi dhurika Tena, na kwa kipindi hicho kama kweli damu si Yako lazima mtoto maziwa ya mama yatakuwa yanamsumbua yanachafuka sababu ya manii za baba yani daily maziwa anacheua, anahalisha sababu ni machafu. Wanawake wanavikao vyao vya Siri hawezi kukubambikia mtoto halafu asifanye namna kumkinga mwanae asidhurike na joto lako
 
Aahhh wee hiyo sio imani kubemenda watoto kupo, mtoto afya inachange kabisa anahara, anazubaa yaan anakuwa kama ana malnutrition, maana yale mauchafu ya wanaume wengine yanaingia mwilini na mtoto ananyonya, vile vile mwanaume akiwa anachepuka afu anarudi kushiriki tendo na mkewe mtoto anaharibika sio nzuri kuchanganya mishahawa na joto ya watu tofauti na baba na mama afu mtoto anyonye
Nyiee😆..hamnaga hiyo situation
 
Back
Top Bottom