Mke anaweza kuchepuka hali yakuwa ananyonyesha mtoto wa mwaka?

Mke anaweza kuchepuka hali yakuwa ananyonyesha mtoto wa mwaka?

Hakuna kitu kama hichoo.muulze dk yeyote atakuambia ..hakuna kubemenda wala kupata mimba mtoto.akiwa ananyonya eti umwachishe ananyonya uchafu ni HAIPOGO..nyonyesha had unaingia labor .ikiwezekana wanyony wote kama mama ana maziwa mengi..upo?
Upo sahihi kabisa.

Ila watu wamekariri story.

Wanasahau ishu za lishe zinasababisha malnutrition matokeo yake wanasingizia neno kubemenda.

Mtoto uchafu anaoweza kula ni wakati anazaliwa. Akipita pale salama basi kinachobaki ni kuiangalia lishe yake kwa karibu.
 
Ukikubali kuoa tegemea lolote lile kutoka kwa mwanamke.......

Ukubwa wa kifua chako ndio utaamua ubakie kwenye ndoa au mgawane mbao.....

Mtoto wa mwaka mmoja ni mkubwa Sana kwa mwanamke mzinzi......

Wenzako washawahi kunyonya maziwa kwenye mambo ya kuonyeshana mahaba wakajikuta wameshiba chakula cha mtoto.....
😂 dah ila Mungu anisamehe hii dhambi, wapeni wake zenu hela wakuu nikikumbuka hili tukio roho inaniuma sana japo nilikuwa sijui kama alikuwa ananyonyesha hadi niliponyonya.
 
Back
Top Bottom