Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuchunga mkuu! Mimi siku 5 yeye 2 kwa wiki.Kuchunga au kuchungulia kama wafanyakazi wamelisha ng'ombe?
Ili iweje sasa mkuu?Kuchunga mkuu! Mimi siku 5 yeye 2 kwa wiki.
Daah, 😂😂😂Huko huko ulikoenda kununua ng'ombe, ndio ungeomba na mke wa kukusaidia kuchunga.
Daah 😂😂😂🙌Habari wakuu.
Baada ya kujitafuta nikanunua ng'ombe wa Kisukuma kama 12 hivi! Basi nimerudi tena kutafuta mwanamke ambaye nitamuoa na tutakaye saidiana kuchunga hawa ng'ombe.
Vigezo ni awe anapumua tu,
Nawasilisha