Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha! Jitahidi ufahamu kila kitume too dady yake mie
Ila siwez kuchunga ng'ombe labda kukata majani
jana ulifungiwa kijiwe gani ??
Waishe tena?Nipo mkuu, ntachunga na kunywa supu mpaka waishe😀 so kigezo ni kujua kuchunga tu?
Shumizi mpya🤣🤣🤣🤣🤣 siku nzima ?? hiyo iweke hadi mwezi wa 2 upatie bimkubwaHahaha! Jitahidi ufahamu kila kitu
Ooh! Jana nilikuwa na mizunguko ya kukutafutia zawadi ya shumizi mpya kukuletea😅
Hapo labda nenda usukumani huko ndani ukaoe wale wadada wenye mapengo ndiyo wanaweza hiyo shughuli ila hawa wa hapa jamiiforums huwapati ng'oHabari wakuu.
Baada ya kujitafuta nikanunua ng'ombe wa Kisukuma kama 12 hivi! Basi nimerudi tena kutafuta mwanamke ambaye nitamuoa na tutakaye saidiana kuchunga hawa ng'ombe.
Vigezo ni awe anapumua tu,
Nawasilisha
Ndiyo mkuu, tutanunua wengine😀😀Waishe tena?
Hongera sana ikawe kheri, familia itakua ya wachungaji😀😀Mrejesho wakuu!.. Baada ya Jana kuandika huu Uzi nimefanikiwa kutafutwa na wanawake wawili mmoja Yuko Mbeya! Mwingne Yuko Mwanza Leo naenda kionana na huyo wa Mwanza nitawapa mrejesho! Huyo wa Mbeya Yuko mbali sijui kama atanifaa.
Nawasilisha.
Hii ndio shumizi, sidiria ni daka nyonyo kwa lugha ya sisi wahuni wa zamani
View attachment 3163064
shida nini hadi ifike hayo maeneo? Nitakuvalisha vizuri🤣Ooo kumbe hizo sivai unaweza ikuta kifuani 🤣🤣🤣 au miguuni endapo hivyo vikamba vya juu vimekatika 🤣🤣
ulikuwa muhuni 🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Vipi fani ya uhuni inaendelea au umestaafu😅 kwan mshua una umri gani
Shida hizo kamba zikikatika bahati mbaya ukiwa unatembea utaikuta miguunishida nini hadi ifike hayo maeneo? Nitakuvalisha vizuri🤣
Ooh! Enzi zangu nilikuwa muhuni, checkbob .
Uhuni tumeacha maana umri nao unakimbia,majukumu binafsi na ya kikazi yanabana so ukiendekeza uhuni kuna watu wananiangalia kama mtu mzima,baba,uncle na kiongozi wao. . .
Zulu man kiongozi wa wapiga debe tandale hapa kwahiyo lazima nijenge taswira nzuri mbele yao😅
Niangalie kwa picha
Nikutanishe naye!Njoo umchukue dada angu
We jamaa saiv zama zebadirika labda utafute wa uko uko🤣🤣🤣Habari wakuu.
Baada ya kujitafuta nikanunua ng'ombe wa Kisukuma kama 12 hivi! Basi nimerudi tena kutafuta mwanamke ambaye nitamuoa na tutakaye saidiana kuchunga hawa ng'ombe.
Vigezo ni awe anapumua tu,
Nawasilisha
Ahh sawa mkiuWe jamaa saiv zama zebadirika labda utafute wa uko uko🤣🤣🤣
Umtoe mjini aje achunge Ng'ombe uku kazoea kuona magari akija uko pori utakimbiwa😃😃😃Ahh sawa mkiu
Kwanini ikatike hiyo kamba? Nipeleke wapi hizi nilizokununulia ?Shida hizo kamba zikikatika bahati mbaya ukiwa unatembea utaikuta miguuni
Nikama koschumu za enzi hizo nafikir ulizivaa😂😂😂😅 ikikatika kile kikamba unaikuta kifuani
Hata kwa mguu wa kuku sivai
Hongera kwakuacha ila kwa jicho la tatu naona bado vipo vipo😷😅😅😅
Picha ipi??