Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Wapo wengi tu. Ila sio hapa jf. Akatafute huko kwao usukumaniHao wa hivyo walikwishaga vita kuu ya pili ya dunia walikusanwa kuwapikia uji wanajeshi vitani Hiroshima Japan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo wengi tu. Ila sio hapa jf. Akatafute huko kwao usukumaniHao wa hivyo walikwishaga vita kuu ya pili ya dunia walikusanwa kuwapikia uji wanajeshi vitani Hiroshima Japan
Eti uzipelekewapi🤣🤣🤣habari za kusadikika hakuna ulicho nunuaKwanini ikatike hiyo kamba? Nipeleke wapi hizi nilizokununulia ?
Hahahaha! Nimeacha kabisa au umeona 🤣🤣🤣?
Utazikuta inbox picha za checkbob wa jana ,salamu ya "shikamoo" unipatie tafadhali.
Nifanye nini ili uamini umenunuliwa shumizi?Eti uzipelekewapi🤣🤣🤣habari za kusadikika hakuna ulicho nunua
Nimeona hapa hapa kupitia jicho la tatu
Inbox🤣🤣🤣🤣🤣 ipo hiyo unataka kuaminisha nin umma acha zako mshua heshima yako
Mbavu zangu😂😂😂 hebu weka picha hapa nioneNifanye nini ili uamini umenunuliwa shumizi?
Nafurahi na vijana ndio maana umehisi hivyo binti yangu😅
Naaminisha umma kuwa unamfahamu binadamu mwenye kitambi,mfupi,mweusi,hana pesa ila ana ucheshi,upendo na mengine unayafahamu.. uko wapi nifike chaaap sasa?
Unataka wafahamu rangi ya shumizi yako?wanawake wa zamani walikuwa na maadili yan inaanza daka nyonyo,inakuja chupi,underskirt alaf juu shumizi na anatupia na nguo sasa ila siku hizi mnavaa vyupi barabaraniMbavu zangu😂😂😂 hebu weka picha hapa nione
Hongera kwa kufurahi na vijana hivi humu wazeee hamana eee🤣🤣🤣😅
kumbe nakufaham oooo alafu hujui nilipo oooo chamgoi hapa😂😂😅
🤣🤣🤣🤣🤣🤣safari njema ukikwama utanijulishaUnataka wafahamu rangi ya shumizi yako?wanawake wa zamani walikuwa na maadili yan inaanza daka nyonyo,inakuja chupi,underskirt alaf juu shumizi na anatupia na nguo sasa ila siku hizi mnavaa vyupi barabarani
Hahaha! Wazee wapo wachache
Chamgoi ni sehemu binti yangu? Google itanipatia majibu,jiandae kwa ugeni.
Nashukuru binti yangu🤣🤣🤣🤣🤣🤣safari njema ukikwama utanijulisha
Hufiki tuu🤣🤣🤣🤣Nashukuru binti yangu
wakurya wako wengi sana mabinti wanachunga ng'ombe sio wiki tu hata mwezi ukitakaHabari wakuu.
Baada ya kujitafuta nikanunua ng'ombe wa Kisukuma kama 12 hivi! Basi nimerudi tena kutafuta mwanamke ambaye nitamuoa na tutakaye saidiana kuchunga hawa ng'ombe.
Vigezo ni awe anapumua tu,
Nawasilisha
Kisarawe?Hufiki tuu🤣🤣🤣🤣
Unasemaa!?!Form four wapo nyumbani enhe
Tehee teeheee🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kisarawe?
Aisee!Huyo mwanamke atapata tabu sana.Habari wakuu.
Baada ya kujitafuta nikanunua ng'ombe wa Kisukuma kama 12 hivi! Basi nimerudi tena kutafuta mwanamke ambaye nitamuoa na tutakaye saidiana kuchunga hawa ng'ombe.
Vigezo ni awe anapumua tu,
Nawasilisha
Google map itanipeleka sehemu tofauti,nasubiri maelekezo yako kamanda wanguTehee teeheee🤣🤣🤣🤣🤣🤣
hivi kigambon ipi wew??Google map itanipeleka sehemu tofauti,nasubiri maelekezo yako kamanda wangu
Tandale,karibuhivi kigambon ipi wew??
Wahi haraka huko unaitwa na Marcy!Habari wakuu.
Baada ya kujitafuta nikanunua ng'ombe wa Kisukuma kama 12 hivi! Basi nimerudi tena kutafuta mwanamke ambaye nitamuoa na tutakaye saidiana kuchunga hawa ng'ombe.
Vigezo ni awe anapumua tu,
Nawasilisha
AsanteTandale,karibu
Huwezi ukampata mkuuHabari wakuu.
Baada ya kujitafuta nikanunua ng'ombe wa Kisukuma kama 12 hivi! Basi nimerudi tena kutafuta mwanamke ambaye nitamuoa na tutakaye saidiana kuchunga hawa ng'ombe.
Vigezo ni awe anapumua tu,
Nawasilisha