Mke anayeweza kuchunga ng'ombe angalau kwa wiki mara moja.

20241029_165603.jpg
 
Habari wakuu.
Baada ya kujitafuta nikanunua ng'ombe wa Kisukuma kama 12 hivi! Basi nimerudi tena kutafuta mwanamke ambaye nitamuoa na tutakaye saidiana kuchunga hawa ng'ombe.

Vigezo ni awe anapumua tu,

Nawasilisha
Kawowe ka Depal kamechoka kudanga, naamini katakubali masharti ya mganga!
 
Habari wakuu.
Baada ya kujitafuta nikanunua ng'ombe wa Kisukuma kama 12 hivi! Basi nimerudi tena kutafuta mwanamke ambaye nitamuoa na tutakaye saidiana kuchunga hawa ng'ombe.

Vigezo ni awe anapumua tu,

Nawasilisha
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom