Mke anayeweza kuchunga ng'ombe angalau kwa wiki mara moja.

Habari wakuu.
Baada ya kujitafuta nikanunua ng'ombe wa Kisukuma kama 12 hivi! Basi nimerudi tena kutafuta mwanamke ambaye nitamuoa na tutakaye saidiana kuchunga hawa ng'ombe.

Vigezo ni awe anapumua tu,

Nawasilisha
Daah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
 
Nina Imani nitapata! Kwan hum Jamii forum hamna wanao Kaa vijijini? Au ambao wanataka kuolewa maisha ya mjini yamewachapa.
 
MZEE HUYO MWANAMKE WA KUCHUNGA NGOMBE ALIKUWEPO MWAKA 1901 KARNE YA ISHILINI. KARNE 21 HAYUPO ACHA KUOTA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…