Mke au Mume ni ufunguo wa maisha

Mke au Mume ni ufunguo wa maisha

Ni wazi hujui hata kusoma,hoja hii ni kwa mwanaume na mwanamke,mwanamke ni ufunguo wa maendeleo kwa mwanaume na na mwanaume ni ufunguo wa maisha kwa mwanamke,pia yawezekana wewe huna mwenza na wala hujui mwenza ni ni nani
ni wazi kwamba una hasira, na umesahau ulichoandika hapo juu. Umesema wanawake waolewe na ukasema pia wanaume tuoe. Halafu tena unasema sina mwenza/mke kumbe ushauri wako umelenga wenye wake.
 
Back
Top Bottom