Mke hataki ndugu zako, utafanyaje?

 
apeleke msaada kila mwezi lakini mtoto akae kwao na wazee wake. Siku hizi mambo ya kubeba ndugu yaishe, kila mtu abebe mzigo wake.

Asilimia kubwa ya watoto wa kulea unalea vizuri lakini wakishapata kazi wanaanza kukusema vibaya na hata ile kuja kukusalimia anaona shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…