Mke kagundua nina mtoto nje

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,443
Reaction score
3,002
Habari waungwana.
Nilioa 2015, ila kabla ya kuoa nilisha zaa na mabinti wawili, na mke siku mbuki kama nilimwambia au laa.

Iissue kuazia juzi naona namtumia msg, hajibu na piga hapokei, nikasema labda yuko busy nakazi, maana si ishi nae karibu.

Bi mkubwa leo kanipigia cm,kaniambia mkeo katuma picha kwa wifi zake anauliza mbona huyu mtoto kafanana na baba nani ,waka mjibu ni wa kwakwe .

Kwani kipindi anakuoa hakuwai kukueleza ana watoto wa nje? Ninacho omba ushauri watoto ni wakubwa nilizaa njee kabla sijamuowa na sijawahi kuzaa nje ya ndoa.

Naona anawambia dada zangu anataka kudai talaka, sasa hapo kosa langu nini?
 
Anadai talaka aende wapi kuliko salama? Mwache adai usimpe.
 
Hukumbuki kama ulimwambia au laa?
 
Ulikosea kutokumwambia mapema kuwa una mtoto kabla yake,
Swali kwako je ukigundua leo mwenzio ana mtoto kabla ya kuwa na wewe utafurahi, hutojisikia namna fulani.?

Ila sio kosa la kuomba talaka, hapo ni anataka abembelezwe na familia yote ijue kuwa amejua.
 
Hata ili unaomba ushauri? Mkuu vipi..
 
Kosa lako kutomuweka wazi from the beginning
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…