Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Hukumbuki kama ulimwambia au laa?Ila najua anajua sema hakuwai kuwaona,sijui picha kaibamba wapi,natumefana mno
Kwangu mimi hili ni kosa kubwa kuliko kutomwambia kabisa.
Kutomwambia inawezekana ukaacha kumwambia kwa kuona hili ni jambo muhimu sana. Ulikuwa unalinda ndoa.
Usipokumbuka kama ulimwambia ama la, maana yake umeliona hili suala si muhimu kabisa.