Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Pole bro, yatapita.....nothing is permanent, muhimu tu uachane na ule ujinga huwa mnashauriana kwenye vijiwe vya kahawa kwamba we dinda tu hapo, nyanyua mabega we ni mwanaume.Niko bongo rasta man.....huwezi kufika huku gamboshi bariadi,just joke....ila niko kwenye wakati mgumu,unacheka ila niko serious,
Ushakosea, kuwa mpole mbembeleze mkeo atalainika tu.....kama haujawahi mpa zawadi muda ndio huo atalainika yataisha.
Pole baba Junia