Mke kagundua nina mtoto nje

Mke kagundua nina mtoto nje

Habari waungwana.
Nilioa 2015, ila kabla ya kuoa nilisha zaa na mabinti wawili, na mke siku mbuki kama nilimwambia au laa.

Iissue kuazia juzi naona namtumia msg, hajibu na piga hapokei, nikasema labda yuko busy nakazi, maana si ishi nae karibu.

Bi mkubwa leo kanipigia cm,kaniambia mkeo katuma picha kwa wifi zake anauliza mbona huyu mtoto kafanana na baba nani ,waka mjibu ni wa kwakwe .

Kwani kipindi anakuoa hakuwai kukueleza ana watoto wa nje? Ninacho omba ushauri watoto ni wakubwa nilizaa njee kabla sijamuowa na sijawahi kuzaa nje ya ndoa.

Naona anawambia dada zangu anataka kudai talaka, sasa hapo kosa langu nini?
Story za kutunga sometimes humchanganya hata mtungaji mwenyew na kujikuta anaandika mambo yanayomfanya aonekane kuwa ametunga.

Wewe umeshasema kuwa ni watoto wa nje ya ndoa uliozaa na wanawake wawili, halafu unadai kuwa haukuwahi kuzaa nje ya ndoa.

So tushike lipi na tuache lipi? Ina maana wakati wa kutunga haukua umejipanga kiuandishi ili utapoandika ionekane kuwa ni kweli?
 
Eti hukumbuki kama ulimwambia...basi hii ni chai kabisa tena iliyopoa
Juu alidai alizaa na wanawake wawili watoto wa nje. Halafu palagraphy ya chini anadai hakuwahi kuzaa nje ya ndoa hivyo hajui kosa lake nini 😂😂😂
 
Eti hukumbuki kama ulimwambia...basi hii ni chai kabisa tena iliyopoa
Mkuu sijawai kuandika issue chai hapa.alafu sina sababu ya kudanganya nafanya hivyo ili kujua ntafanyaje endapo ikitokea akaniuliza.kwa hali hii nilikuwa na plan ya kwenda mwezi huu.upepo umechafuka
 
Juu anadai alizaa na mabinti wawili watoto wa nje ya ndoa.

Mstari wa chini anadai hajawahi kuzaa watoto nje ya ndoa hivyo halijui kosa lake 😂😂😂
Tatizo mkuu ni mgumu kuelewa,nilizaa kabla sijafunga ndoa.ila nilivyo ingia kwenye ndoa.sijawai kizaa njee
 
Yani toka 2015 hao watoto it means huwahudumii au hamuonani, ungekua nao karibu mkeo angejua mapema.
Kuwa mwanaume basi
 
Yani toka 2015 hao watoto it means huwahudumii au hamuonani, ungekua nao karibu mkeo angejua mapema.
Kuwa mwanaume basi
Mi namjua mke wangu ni short tempaaa mno endapo ningekuwa nafanya mawasiliano akagundua kungewaka moto na ungekuta tusha achana kitambo.
 
Hapa nakiri kuna makosa ya kiufundi nilifanya,ila kabla ya hapo huyo mwanamke mmoja anamjua maana nilikuwa niko nae kabla hata yeye kuamua kuwa mke wangu,nanilimchakua yeye kwa vile nilimpenda kweli
Be humble to her, mweke chini na mueleweshe ila using'ang'anie kusema ulishamueleza, we sema nadhani ulikuwa ukifahamu kilakitu bhasi. Kama anakuoenda and she means to be with you atakuelewa tu
 
Habari waungwana.
Nilioa 2015, ila kabla ya kuoa nilisha zaa na mabinti wawili, na mke siku mbuki kama nilimwambia au laa.

Iissue kuazia juzi naona namtumia msg, hajibu na piga hapokei, nikasema labda yuko busy nakazi, maana si ishi nae karibu.

Bi mkubwa leo kanipigia cm,kaniambia mkeo katuma picha kwa wifi zake anauliza mbona huyu mtoto kafanana na baba nani ,waka mjibu ni wa kwakwe .

Kwani kipindi anakuoa hakuwai kukueleza ana watoto wa nje? Ninacho omba ushauri watoto ni wakubwa nilizaa njee kabla sijamuowa na sijawahi kuzaa nje ya ndoa.

Naona anawambia dada zangu anataka kudai talaka, sasa hapo kosa langu nini?

Hii kesi ya simple sana,
Ulimkuta Bikra?
So before hujaoa alidhani unasomea upadre usipige show?
Mahakama imeona hapo hamna kesi ya msingi sababu watoto walipatikana kabla ya ndoa
 
Kwanza kabisa napenda kumshukuru mheshimiwa Rais,

WANAUME TULIKUBALIANA HAKUNA KUKUBALI, KATAA, KATAA, KATAAA MPAKA MWISHO.

Hakuna kukubali. NI KUKATAA TU. Hilo ndo lilikuwa azimio letu kwenye kikao cha 21 nadhani ndugu mjumbe hukuhudhuria.
 
Feedback....nimejaribu kuchat nae ananijibu vizuri ila short sana,ila ajaniambia chochote hadi sasa....ila naskia vibaya kwani nahisi hana furaha,na tumetoka mbali na kweli na mpenda natamani kurejesha furaha yake na awezee kuniamini simsaliti
 
Back
Top Bottom