Mke kagundua nina mtoto nje

Mke kagundua nina mtoto nje

Habari waungwana.
Nilioa 2015, ila kabla ya kuoa nilisha zaa na mabinti wawili, na mke siku mbuki kama nilimwambia au laa.

Iissue kuazia juzi naona namtumia msg, hajibu na piga hapokei, nikasema labda yuko busy nakazi, maana si ishi nae karibu.

Bi mkubwa leo kanipigia cm,kaniambia mkeo katuma picha kwa wifi zake anauliza mbona huyu mtoto kafanana na baba nani ,waka mjibu ni wa kwakwe .

Kwani kipindi anakuoa hakuwai kukueleza ana watoto wa nje? Ninacho omba ushauri watoto ni wakubwa nilizaa njee kabla sijamuowa na sijawahi kuzaa nje ya ndoa.

Naona anawambia dada zangu anataka kudai talaka, sasa hapo kosa langu nini?
Huyo bibie ni mjinga sana tena mjinga sana, mbinguni hakuna kuoa wala kuoana. Anajisumbua bure
 
Feedback....nimejaribu kuchat nae ananijibu vizuri ila short sana,ila ajaniambia chochote hadi sasa....ila naskia vibaya kwani nahisi hana furaha,na tumetoka mbali na kweli na mpenda natamani kurejesha furaha yake na awezee kuniamini simsaliti

Muendekeze ili akutawale.
 
Joined 2010
Bro am real jamii forums member....miaka 14 sijawai kubadilisha adetiti so ninacho kwambia is real,nasoma ila spendi kuazisha mada.nimetoka kidogo out usiku huu....akili nichambue ushauri,zakuambiwa changanya na zako
 
Mimi iko hivi;

  • Nilianza mahusiano na yeye in 2014, baada ya kuzinguana na mtu wangu wa muda mrefu.
  • Tukazaa mtoto wa kike pasipo kufunga ndoa in March 2015
  • Nikahama mkoa kikazi nikampotezea yeye kwa muda, but in May 2017 huko mkoani nikapata mdada tukazaa mtoto wa kiume.
  • In 2018 nikaamua kumrudia yule wa kwanza baada ya kusameheana nikamtia mimba na kuzaa naye mtoto wa kike in January 2019.
  • Ghafla nikarudi tena kwa huyo wa pili tufunga ndoa in May 2020 na kazaa mtoto wa kike in December 2020.

Mtihani uliopo huyu wa ndoa anadai eti wale wawili (ME&KE) kamwe kamwe hataki kabisa waguse nyumbani kujumuika na hawa wawili (KE) eti waende wakakae kwa mama zao...
 
Mimi hajaniuliza wala ninj
Fanya kwa ujasiri mwambie twende kwa wazazi wako nikakukabidhi talaka kule kule. Ukiona anainuka kweli nawe kuwa serious muulize je nilikuoa ukiwa bikra? Ondoka naye kwa wazazi wake katoe maelezo yako kuhusu hao watoto na umri wao. Kisha waambie sikuwaoa mama zao kwasababu ya tabia zao kisha nikakupata wewe nikaridhika na tabia yako. Leo unanitaka nikupe talaka kosa langu ni nini? Akikwambia kosa lako ni kuto mwambia mwambie ulikuwa unatafuta muda muafaka kwani hukutaka kumkwaza. Akidinda kuitaka talaka basi muulize kama alikuwa bikra siku unamuoa kama la mtuhumu kwamba anataka kwenda kwa aliyeanza naye? Hawezi kuendelea kudai talaka badala yake atakuomba msamaha.
 
Habari waungwana.
Nilioa 2015, ila kabla ya kuoa nilisha zaa na mabinti wawili, na mke siku mbuki kama nilimwambia au laa.

Iissue kuazia juzi naona namtumia msg, hajibu na piga hapokei, nikasema labda yuko busy nakazi, maana si ishi nae karibu.

Bi mkubwa leo kanipigia cm,kaniambia mkeo katuma picha kwa wifi zake anauliza mbona huyu mtoto kafanana na baba nani ,waka mjibu ni wa kwakwe .

Kwani kipindi anakuoa hakuwai kukueleza ana watoto wa nje? Ninacho omba ushauri watoto ni wakubwa nilizaa njee kabla sijamuowa na sijawahi kuzaa nje ya ndoa.

Naona anawambia dada zangu anataka kudai talaka, sasa hapo kosa langu nini?
Anakupima tu huyo haendi kokote....Zoea drama za hawa Wenzetu
 
Ulikosea kutokumwambia mapema kuwa una mtoto kabla yake,
Swali kwako je ukigundua leo mwenzio ana mtoto kabla ya kuwa na wewe utafurahi, hutojisikia namna fulani.

Ila sio kosa la kuomba talaka, hapo ni anataka abembelezwe na familia yote ijue kuwa anajua.
👏👏👏
Umenena vizuri
 
Habari waungwana.
Nilioa 2015, ila kabla ya kuoa nilisha zaa na mabinti wawili, na mke siku mbuki kama nilimwambia au laa.

Iissue kuazia juzi naona namtumia msg, hajibu na piga hapokei, nikasema labda yuko busy nakazi, maana si ishi nae karibu.

Bi mkubwa leo kanipigia cm,kaniambia mkeo katuma picha kwa wifi zake anauliza mbona huyu mtoto kafanana na baba nani ,waka mjibu ni wa kwakwe .

Kwani kipindi anakuoa hakuwai kukueleza ana watoto wa nje? Ninacho ombushauwai wakubwa nilizaa njee kabla sijamuowa na sijawahi kuzaa nje ya ndoa.

Naona anawambia dada zangu anataka kudai talaka, sasa hapo kosa langu nini?
Kaeni chini muongee muwekane sawa.
 
Habari waungwana.
Nilioa 2015, ila kabla ya kuoa nilisha zaa na mabinti wawili, na mke siku mbuki kama nilimwambia au laa.

Iissue kuazia juzi naona namtumia msg, hajibu na piga hapokei, nikasema labda yuko busy nakazi, maana si ishi nae karibu.

Bi mkubwa leo kanipigia cm,kaniambia mkeo katuma picha kwa wifi zake anauliza mbona huyu mtoto kafanana na baba nani ,waka mjibu ni wa kwakwe .

Kwani kipindi anakuoa hakuwai kukueleza ana watoto wa nje? Ninacho omba ushauri watoto ni wakubwa nilizaa njee kabla sijamuowa na sijawahi kuzaa nje ya ndoa.

Naona anawambia dada zangu anataka kudai talaka, sasa hapo kosa langu nini?
Kosa lipo. Hukuwa muwazi kwake ili afanye maamuzi ya kuanza mechi akiwa amepigwa mbili bila majibu.

Linatatulika kwa kuwa watoto walikuwepo kabla ya ndoa . Jipange tu namna ya kuliweka sawa litaisha. Akikomalia talaka huyo alikuwa anatafuta pa kutokea.
 
Mi namjua mke wangu ni short tempaaa mno endapo ningekuwa nafanya mawasiliano akagundua kungewaka moto na ungekuta tusha achana kitambo.
Tatizo lipo kwa mke wako, atakuwa mtamu sana maana unavyobabaika km hujawahi kula k tofauti na yake,

Short-tempered mpaka unaogopa kuwasiliana na wanao shtuka mkuu, mkeo mdogo kiumri, roho mbaya mchoyo na anapenda kudeka mpe talaka akauone moto kitaa,
kuna ndg mpk sasa amezaa watoto 5 kwa wanawake 4 tofauti nje ya mkewe wamezaliwa wakiwa tayari wameshaoana na kawaleta home na mke yupo hajaondoka kuna wanaume ni imbwaa mfano huo ndo ataupata huyo mkeo akilazimisha hiyo talaka
 
Back
Top Bottom