Mke kagundua nina mtoto nje

Mpe talaka tu si anaitaka
 
Akidai talaka mpe...khee kwani shida Iko wapi?.. Kuna watu nje huku wanatamani ndoa hata na mume mwenye watoto kumi...then yeye analeta nyodo...let her go
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ uchinjwe xmas mdogo angu sio kwa ushauri huo konki
 
kama anataka talaka mpe wala usiumize kichwa, ingelikuwa umezaa baada ya ndoa lingekuwepo la kulijadili na mkeo.
 
Ila mimi mpaka sasa hajaniambia chochote,kakaa kimya,simu hapokei wala msg,sasa najiuliza kwavile ameamua kuwa mbia wifi zake,nikae kimya nione mwisho wa picha au numuulize.
Akiomba talaka mpe chap...maisha yenyewe mafupi asije kukupa stroke na sisi wanaume umri wetu wa kuishi ni mdogo
 

Kosa ni lako. Kwanini umfiche kuhusu wewe kuwa na watoto wakati uliwazaa kabla hamjakutana?

Hiii suala la wanaume kuwaficha wake zao watoto kwa kweli silielewi.
 
Kama tayari una watoto nae wala asikuumize kichwa mkuu...Kama hao watoto aliowakuta ni wakubwa bas kashapata jibu kua hakuna usaliti na hakuna kesi hapo...Kama hajakuuliza kitu nawewe usimuulize kitu akiwa tayari kuongelea hilo atakuambia.Mambo madogo hayo yatapita tu.
 
Hilo mbona dogo tu..mimi ninaye wa nje ya ndoa na anajulia...alinuna anatulia tu
 
Kama watoto ni wakubwa kuliko umri wa ndoa, basi hapo hakuna kesi ya kujibu.
 
Kosa lako ni kutomwambia. vipi kama yeye ungemuoa halafu baadaye unakuja kugundua kuwa alikuwa na mtoto kabla ya kukutana na wewe lakini hakwuahi kukwambia, vipi ungemwelewa?
By the way kwa kuwa ni kabla ya ndoa subiri munkali wake ushuke mtayamaliza na watoto watambulike fresh kabisa.
 

Ulikosea kutomwambia mapema, wanawake hawanashida wakijua una mtoto kabla ya kumuoa kikubwa umuweke wazi na umbembeleze bembeleze..

Sasa fanya hivi usimjibu vibaya na talaka usimzuie kudai, mwache adai talaka ila akiwa anadai talaka mzungushe usimpe alafu tumia huo muda kumbembeleza bembeleza, hapo anakupima na kajawa na wivu anachotaka ni aone je unamuhitaji na kumthamini ili ajione mtu na umwaminishe kuwa hao mama watoti zako hawakua zaidi yake.


Chezea saikolojia yake mkuu mpaka akae sawa.
 
Ila mimi mpaka sasa hajaniambia chochote,kakaa kimya,simu hapokei wala msg,sasa najiuliza kwavile ameamua kuwa mbia wifi zake,nikae kimya nione mwisho wa picha au numuulize.
Wewe jibebishe mchanganye kisaikolojia na usishindane nae na usimwonyeshe kama umejua kawaambia wifi zake, siku akikufungukia tafuta uongo mzuri mzuri wenye ukweli kidogo ndani yake utakao kua na maneno ya kumbembeleza na kumpandisha hisia zake alafu mwambie.

Nb. Usiongee sana jiamini na tumia akili yako ya kiume kumtongoza upya mke wako alafu ulete hapa mrejesho
 
Kosa lako ni kuoa. Kuoa ni upumbavu!
KATAA NDOA
 
Wanaozaa na kunyonyesha ni wanawake. Mwanaume hapati mimba wala hazai. Hapo kesi hakuna.
 
Pole mkuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…