Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Niwakike huyo ndugu?Wakuu hii imekaaje mke kuleta ndugu bila taarifa kuja kukaa likizo nakusalimia nakukaa miezi bila kuondoka..mke akiulizwa anasema anaogopa kumwambia atamwambiaje ataona amfukuza
Tunahamia kwa kuwa ni familia, siyo ghetto.Ndugu wawe na mipaka, sio kukaa bila utaratibu wanandoa wengine wanapenda kujiachia hata sebleni.
Sasa vipi ndugu mnahamia bila sababu maalum?
Mkuu nimeongea nae ila nikama anaona sitaki ndugu zake,mke kanuna anataka hata mfanyakazi wa ndani aondoke kisa ndugu yake kurudi kwao anakwambia Kuna kufaKakosea sana anapaswa akuambie maake maisha yanahitaji pesa na Kama ni mtu ambaye ni mchumi aseh
Ongea na wife maybe wanaweza ondoka
Umesema mke kàletà ndugu bila taarifà, Sasa watarudije wenyewe bila taarifà? Au una maanisha wamekuja wenyewe bila taarifà?Wakuu hii imekaaje mke kuleta ndugu bila taarifa kuja kukaa likizo nakusalimia nakukaa miezi bila kuondoka..mke akiulizwa anasema anaogopa kumwambia atamwambiaje ataona amfukuza
Ndio niwakike wamiaka15Niwakike huyo ndugu?
Ndio wakae miezi mitatu bila mipango? wanamuonea jamaaKwani walikuja bila mke kukutaarifu ?
Wamekuja kwa ndugu yao, wewe kinakukera nini?Wakuu hii imekaaje mke kuleta ndugu bila taarifa kuja kukaa likizo nakusalimia nakukaa miezi bila kuondoka..mke akiulizwa anasema anaogopa kumwambia atamwambiaje ataona amfukuza
Wamekuja wenyewe kwakuletwa na mke ila anawaonea haya kuwarudisha anasema kwa Kuna shida Gani kukaa naeUmesema mke kàletà ndugu bila taarifà, Sasa watarudije wenyewe bila taarifà? Au una maanisha wamekuja wenyewe bila taarifà?
Kwaiyo nikiletewa niwe napokea tu bila sababu maalumuWamekuja kwa ndugu yao, wewe kinakukera nini?
Ukipenda boga upende na ua lake.
mfanyakazi anakaa sababu kaajiriwa otherwise asingekaa...Ndugu alikuja kukaa nae likizo ya shule Ile yakumaliza shule ya miezi3 ...tumekaa nae miezi3 Sasa anatokea nyumbani kwangu nawazazi wake wote wapo hai Sasa mke unamuhoji ananuna anakwambia mbona mfanyakazi wandani ye anakaa kwanin ndugu yake wa damu asikae nabakia kumshamgaa tu
😂😂😂😂Kama ni wa kike, anza kuzurula na boxer nyepesi hapo kwako, hakikisha kende zinachungulia. Kama ni wa kiume msugue dada yake mpaka awe anatoa ukunga wa kusikika nje.
We mbona uko nje huwaambii ndugu zako wakwee pipa muishi nao majuuWamekuja kwa ndugu yao, wewe kinakukera nini?
Ukipenda boga upende na ua lake.
Uzi ufungiwe hapaKama ni wa kike, anza kuzurula na boxer nyepesi hapo kwako, hakikisha kende zinachungulia. Kama ni wa kiume msugue dada yake mpaka awe anatoa ukunga wa kusikika nje.
Umeoa Mmbulu kazi unayo hao hata pasipikwe apo home hawaondoki watashinda tu Njaa.Wakuu hii imekaaje mke kuleta ndugu bila taarifa kuja kukaa likizo nakusalimia nakukaa miezi bila kuondoka..mke akiulizwa anasema anaogopa kumwambia atamwambiaje ataona amfukuza
Hawaondokagi hao mzee hata mfanyie sebuleni.Panga na mkeo mzagamuane huku anapiga miguno ya hali ya juu kwa sauti, kama ni mtu anaejielewa lazima asepe
Uchoyo unakusumbua. Hawa jamaa wakikaa kwako wiki si utakimbia Nyumba. Hao wageni wanapunguza nini kwani.Wakuu hii imekaaje mke kuleta ndugu bila taarifa kuja kukaa likizo nakusalimia nakukaa miezi bila kuondoka..mke akiulizwa anasema anaogopa kumwambia atamwambiaje ataona amfukuza