Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Kwanza MKE akishajifu gua akaenda kwao mkoani/kijijini likizo ya uzazi mpk apone inatoa fursa ya wewe kuendelea kuchepuka bila changamoto Sana.
Maana tunajua jela ya kimapenzi tunayopitia wanaume MKE akishajifungua
Kuna almost miez 2 Hadi 6 ya kukosa unyumba kutegemea na aina ya alivojifungua.
😂😂😂Yaani mtu anaiacha hospitali ya Meta eti anaenda kuzalia Umalila
Ni kweli sina akili, kutokuwa na akili kwangu kwani kunakupunguzia chochote? Au kunafyonza akili zako?hunaakili.
kuja mjini juzi unanza kuzalau watu wavijijini?kwahio watoto wanao zaliwa huko wanakufa?jinga kweli wewe.ndiomana ulikuwa unajiita girlesNi kweli sina akili, kutokuwa na akili kwangu kwani kunakupunguzia chochote? Au kunafyonza akili zako?
Ndugu yangu sijaoa mke ila nimeoa speaker mwanamke anaongea ana mdomo radio ikasomeMshikaji, kweli hauko huru na ndoa yako, wala hauko huru na maisha yako. Ukikosa furaha, uhuru wa kweli na amani kwenye ndoa yako, wewe utakuwa ni mtumwa wa ndoa na sonona itakusumbua sana
Sawa
Haha hahah mjini sijaja juzi, nimeingia leo.kuja mjini juzi unanza kuzalau watu wavijijini?kwahio watoto wanao zaliwa huko wanakufa?jinga kweli wewe.ndiomana ulikuwa unajiita girles
mzee wahovyo....Haha hahah mjini sijaja juzi, nimeingia leo.
Zabua makofi hakuna mchezaji mkubwa kuliko timuNdugu yangu sijaoa mke ila nimeoa speaker mwanamke anaongea ana mdomo radio ikasome
Duh. Bora kukaa kwenye paa la nyumba kuliko kukaa ndani na mwanamke mwenye makeleleNdugu yangu sijaoa mke ila nimeoa speaker mwanamke anaongea ana mdomo radio ikasome
unanishangaza sana.kwanini ulijiita girles?unaakil kweli.Nikiwa mzee wa hovyo, weee kijana wa maana unafuata nini kwenye thread za Mzee wa hovyo? Jitafakari.
Wewe ndio umeniitaunanishangaza sana.kwanini ulijiita girles?unaakil kweli.
sawa zee lamchongo..a.k.a zee lahovyooooooooWewe ndio umeniita
Uko sahihi kabisa mkuu,wale mlioko mjini ndiyo mnahuduma bora zaidi za afya kuliko tulio huku vijijini, lakini sasa mnawakimbiza wake zenu kuja huku kwasababu unakuta mtu anakaa chumba kimoja tu.........na mkewe anahali hiyo lazima tu amrudishe kijijini angalau kuna kanafasiMjini ndiko kwenye huduma bora za afya halafu unataka mkeo akajifungulie kijijini ambako huko huduma za afya ni duni. Miundombinu sio rafiki, maji safi na salama hakuna.
Unampeleka huko ili mtoto akizaliwa kitovu chake kichukuliwe na kuungamanishwa na mashetani. Huu ni ushetani daraja la kwanza.
Mambo mengine hayana maana, mkeo akipata changamoto anakimbizwa tena mjini. Hebu tubadilikeni.