Mke kwenda kujifungulia kijijini, huu ni uchawi

Kwanza MKE akishajifu gua akaenda kwao mkoani/kijijini likizo ya uzazi mpk apone inatoa fursa ya wewe kuendelea kuchepuka bila changamoto Sana.

Maana tunajua jela ya kimapenzi tunayopitia wanaume MKE akishajifungua

Kuna almost miez 2 Hadi 6 ya kukosa unyumba kutegemea na aina ya alivojifungua.

Muombe Mungu mtoto wako wa kiume asifwate tabia zako mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
😂😂😂
1673075257156.png

To yeye rudisha ile ya kwenye kiti
 
Mjini ndiko kwenye huduma bora za afya halafu unataka mkeo akajifungulie kijijini ambako huko huduma za afya ni duni. Miundombinu sio rafiki, maji safi na salama hakuna.

Unampeleka huko ili mtoto akizaliwa kitovu chake kichukuliwe na kuungamanishwa na mashetani. Huu ni ushetani daraja la kwanza.

Mambo mengine hayana maana, mkeo akipata changamoto anakimbizwa tena mjini. Hebu tubadilikeni.
Uko sahihi kabisa mkuu,wale mlioko mjini ndiyo mnahuduma bora zaidi za afya kuliko tulio huku vijijini, lakini sasa mnawakimbiza wake zenu kuja huku kwasababu unakuta mtu anakaa chumba kimoja tu.........na mkewe anahali hiyo lazima tu amrudishe kijijini angalau kuna kanafasi
 
Back
Top Bottom