Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
-
- #101
Wengine hawa hapaNina watoto watatu, mambo ya matambiko niliyakataa long time. Yanakufanya uwe zezeta
Watakuja kuua watu,huko chini ni maji ya baridi tu yanatoshaEti huko chini wanaweka madawa ya kienyeji uwe mnato
Kabisa kaka tutafahamishanaSafi sana mkuu. Tutafutane aisee... msimu huu wa nguniani sio mbaya tukaalikana
Asante sanaKabisa kaka tutafahamishana
Hali ikiruhusu wakazaliwe mataifa makubwa yaliyo endelea. Huku wanga wengi sanaSi umlete mtoa hizo huduma mjini
Mimi nshasema watoto wote Dar yaani
Haya mambo ya kitomvu ni bongo mwanangu hii nchi jauHivi na nchi nyingine huko duniani wanakuwaga na mambo ya ajabu ajabu kama yetu sisi Ε΄atanzania maana maana kwa kweli naona kama wengi wetu hatupo sawa.
Sasa unakuta mjini una chumba kimoja sebule imeigawaKwanini mamamkwe asije mjini akawacare mama na mtoto huku?? Kwanza mara nyingi kumpeleka mama aliyejifungua ugenini unamuongezea na msongo wa mawazo maana anakuwa na upweke zaidi ya kichanga chake tuu anazungukwa na ndugu asiowazoea.
Akiwa uwanja wa nyumbani kwa mume wake atlist anakuwa na ile uhuru na amani ya moyo hata atarecover mapema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hiki ulichoandika ni kweli basi unahitaji msaada mkubwa kifupi upo jela fanya kila uliwezalo kurejesha amani kwenye ndoa yako na kama haiwezekani basi tafuta namna nyingine ya maisha Kwan hali ikiendelea hivyo kuna hatari kubwa mbele yakoNaona sawa wapelekwe tu uko vijijini.
Mke wangu mimba ilipofika miezi 5 nikampeleka kwako uko mpala kyala ,nyumbani nilibaki kwa raha sana narudi muda ninaotaka mimi,pombe nakunywa ninavyojisikia,no kelele
Naona sawa wapelekwe tu uko vijijini.
Mke wangu mimba ilipofika miezi 5 nikampeleka kwako uko mpala kyala ,nyumbani nilibaki kwa raha sana narudi muda ninaotaka mimi,pombe nakunywa ninavyojisikia,no kelele
πππππππMjini ndiko kwenye huduma bora za afya halafu unataka mkeo akajifungulie kijijini ambako huko huduma za afya ni duni. Miundombinu sio rafiki, maji safi na salama hakuna.
Unampeleka huko ili mtoto akizaliwa kitovu chake kichukuliwe na kuungamanishwa na mashetani. Huu ni ushetani daraja la kwanza.
Mambo mengine hayana maana, mkeo akipata changamoto anakimbizwa tena mjini. Hebu tubadilikeni.
Umeona ehh, au wanataka kukakeketa kakiwa bado kachanga?Biashara kichaa kabisa hii
Unataka nitume CD ya harusi, au kadi ya mwiliko?Bujibuji Simba Nyamaume kuwa mkweli umeoa??
Jibu basi usiwe mgumu ndio au hapanaUnataka nitume CD ya harusi, au kadi ya mwiliko?
NimeoaJibu basi usiwe mgumu ndio au hapana