MIZANIA TZ
JF-Expert Member
- Sep 22, 2024
- 699
- 374
🤣 🤣 🤣🔊Usingizi wa mtu huyo ujue.
🤣 🤣 🤣🔊Usingizi wa mtu huyo ujue.
Amefanana na mwanachama fulani
Story ilibadilika.sahihi pia,mpaka alimuomba mumewe aoe make mdogo yakwamba yeye yupo busy na u DC Sasa akiwa MP itakuaje?
Atakuwa mtamu.....Ila wanaume tuna ujasiri. Huyu dada kafunga ndoa na mwanaume mwingine , halafu mwanaume mwingine kaenda kumchukua na Kufunga naye ndoa.
Aisee ni sawa na ile hadithi ya yule Dr wa buguruni aliekua anatupia picha za wake zake wote watatu akiwa nao kitanda kimoja wakati ana neema zilipokatika tu nikaanza kuona wanashinda msikitini kugombea nyumba moja sijui iliishaje ishu yao na ile pisi iliyokimbia mume kumfata Dr wa Buguruni..Story ilibadilika.
Alimwambia mumewe wa mwanzo aoe mke mwingine yeye yuko busy na majukumu kisha alipooa yeye akaenda kuolewa na Aweso mke wa pili na jamaa akaachwa kisiasa hivyo....
Alishinda!?Hongera sana
Nilicho gundua watu Wana chuki Kali sana na the late JPM.Yule alikuwa mrundi, sio mzilankende
Three sweeters one husband 🤣🤣🤣🤣👍Clementina in Song of Lawino's book
Three suitors one husband[emoji736]Three sweeters one husband [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji106]
Hio ndio nzuri ya kuacha alama 😀Lipstick nyekundu sana