and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
- Thread starter
- #61
Kodi ilipwe
Utaambiwa unataka kuvuruga amani1. Zainab anahitaji Kura zenu akawatungie sheria bungeni.
2. Tafadhali Sana Wajumbe wa Pemba. Huyu ni potential anaweza kupata hata Uwaziri. Akageuza Pemba zaidi ya Dubai Ushan'fahamu?
VIJANA mkajiajiri
View attachment 3425918View attachment 3425919
Mazoea in three sweeters one Husband.1. Zainab anahitaji Kura zenu akawatungie sheria bungeni.
2. Tafadhali Sana Wajumbe wa Pemba. Huyu ni potential anaweza kupata hata Uwaziri. Akageuza Pemba zaidi ya Dubai Ushan'fahamu?
VIJANA mkajiajiri
View attachment 3425918View attachment 3425919
like a ..... that had depened its....... kitabu kilikuwa kitamu kileClementina in Song of Lawino's book
ngoswe penzi kitovu cha uzembe. hicho kina makrita, kouma, juliette, atangana, tsegen, ndi, mbia, oyono, bella n.k. missed this old readings.Mazoea in three sweeters one Husband.
Huyu alipata ukuu wa wilaya akiwa bado mwanafunzi wa mwaka wa pili chuo.Kama ni kweriiiii KULWA &DOTTO MASHAKA BITEKO WOTE WANGEKUA WABUNGE.
Aliyemteuwa Salma Kikwete Ubunge ni nani?JPM asinge ruhusu kitu kama hikii.....
Kuna watu kifo cha JPM kinawaliza Kila mara wanapo yaona majambo kama hayaa.
Pumzika kwa amani mzilankende.
1. Zainab anahitaji Kura zenu akawatungie sheria bungeni.
2. Tafadhali Sana Wajumbe wa Pemba. Huyu ni potential anaweza kupata hata Uwaziri. Akageuza Pemba zaidi ya Dubai Ushan'fahamu?
VIJANA mkajiajiri
View attachment 3425918View attachment 3425919
Je Mke Mkubwa yeye ni Nani (Mama wa Nyumbani au DC/DAS/Mfanya Biashara)1. Zainab anahitaji Kura zenu akawatungie sheria bungeni.
2. Tafadhali Sana Wajumbe wa Pemba. Huyu ni potential anaweza kupata hata Uwaziri. Akageuza Pemba zaidi ya Dubai Ushan'fahamu?
VIJANA mkajiajiri
View attachment 3425918View attachment 3425919
Ukubwa unagawa weweWewe huyu ni mke mkubwa
Sijui baada ya miaka 10 itakuajehawajui kushiba
Sio mbayaWamenogewa😁😁