Mkazamoyo
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 1,638
- 2,817
Unataka kusemaje kwa mfano ndugu mjumbe
Unataka kusemaje kwa mfano ndugu mjumbe
Kama ni kweriiiii KULWA &DOTTO MASHAKA BITEKO WOTE WANGEKUA WABUNGE.Si kweli.Huyo ndiye alikuwa muadisi wa upumbavu wote huo.
Kuwa maisha ni pumzi, tuivute kadri ya tulivyojaaliwa.Unataka kusemaje kwa mfano ndugu mjumbe
Acha kutetea hayo mahovyohovyo kwa mfano usio na kichwa wala viganja.Hao wabunge wanaomaliza muda wao,kwa wingi wao ni nani aliyewapeleka bungeni kwa kuharibu uchaguzi kwa makusidi?Kama ni kweriiiii KULWA &DOTTO MASHAKA BITEKO WOTE WANGEKUA WABUNGE.
JPM asinge ruhusu kitu kama hikii.....
Kuna watu kifo cha JPM kinawaliza Kila mara wanapo yaona majambo kama hayaa.
Pumzika kwa amani mzilankende.
Mzilankende Angewafyatua Nje Ya Mfumo Mume Na MkeJPM asinge ruhusu kitu kama hikii.....
Kuna watu kifo cha JPM kinawaliza Kila mara wanapo yaona majambo kama hayaa.
Pumzika kwa amani mzilankende.
Huyohuyo aliyekuwa anahonga mahawara mali za serikali na kuwagawia vyeo watoto wa nduguze?Huwa upo siriazi kweli kwa namna kila mara unavyomtolea mfano?Mzilankende Angewafyatua Nje Ya Mfumo Mume Na Mke
Sasa Hivi Wahuni Wanatamba Mno
Nikimpata simwachi.... yaani nanyonya Hadi PUA...😍😍
Pesaa inaongeaShe really NOSE how to dress, kapendeza na lipstick yake kama mama ubaya.
Sura na maumbile ya chini huwa vinafanana sana.1. Zainab anahitaji Kura zenu akawatungie sheria bungeni.
2. Tafadhali Sana Wajumbe wa Pemba. Huyu ni potential anaweza kupata hata Uwaziri. Akageuza Pemba zaidi ya Dubai Ushan'fahamu?
View attachment 3425918View attachment 3425919
Mkuu, 😊 kwa nia njema unataka kutuambia niniSura na maumbile ya chini huwa vinafanana sana.
MCHAGA a.k.a MANKA (PALESTINA).SI ANA MWINGINE MSAMBAA WA SONI-BUMBULI yule ni mkubwa au mdogo au ndo uyu nini?