GE2025 Mke mdogo wa Juma Aweso anaomba Kura zenu

GE2025 Mke mdogo wa Juma Aweso anaomba Kura zenu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
huyu dada amekipiga pale ITA-TRA Ameshindwa kupata connection ya ajira TRA?ambayo wengi wetu tunaitaka ,maana tuliomba tulikua 5000 na wao walitaka watu 500 tuu hakika ni huzini
 
huyu dada amekipiga pale ITA-TRA Ameshindwa kupata connection ya ajira TRA?ambayo wengi wetu tunaitaka ,maana tuliomba tulikua 5000 na wao walitaka watu 500 tuu hakika ni huzini
Huyu ni DC wa kudumu lakini since akiwa na early 20’s
 
Acha kutetea hayo mahovyohovyo kwa mfano usio na kichwa wala viganja.Hao wabunge wanaomaliza muda wao,kwa wingi wao ni nani aliyewapeleka bungeni kwa kuharibu uchaguzi kwa makusidi?
Wenyewe mlikuwa mmezoea tu ccm kuendelea kujitangaza mshindi na kuendelea kushika dola kila uchaguzi uchaguzi hilo mlikuwa mshalikubali, ila Jiwe kaongeza na kuwaweka wabunge wake sijui kuvuruga uchaguzi basi kwa kuwa hilo hamjazoea ndio maana mnalipigia kelele sana.
 
Back
Top Bottom