Mke mgonjwa amuomba mumewe amletee EX wake afurahie penzi kwa mara ya mwisho kabla ya kufa

Aaaah! Marekan eee. Uchafu ote wa dunian upo uko so sishangai sana
.
Uchafu uko kila mahali mkuu, tofauti ni kwamba wamarekani wana uhuru wa kujieleza tu.
.
Laiti kama uhuru huo ungekuwepo huku kwetu, tungeshuhudia vituko vingi mno.
 
Na Huyo ndiye mwanamke

Ishi naye kwa akili

Usihangaike na upendo
 
View attachment 2718161kula chuma hicho mkuu..haoo ndio wanawake

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Most likely sio sifa bali ni uchungu wa mbele unaojitengea wewe mwenyewe pamoja na kuumiza watu wakaribu yako. Sema ndio modernization hiyo, tumekuja kuwa lefty yaani, tunasifia viovu na kuviponda vilivyo vyema. Yaani sifa ya kufanya uovu au ukatili kwa mwanamke au mwanaume inamuumizaga sana uzeeni au nyakati za mwisho, sema ndio jamii ngoje tuone itakuaje.
 
Pesa zinatuponza,lakini kiuhalisia 66% ya wanawake ndani ya ndoa wanabakwa na waume zao.Hajampenda mwanaume ila kaingia kwenye ndoa Ili avae shera, kachoka kukaa home.....anaogopa Wana -adamu wanaoongea
Inawezekana..
 
Wanawake wengi wanaolewa na wanaume ambao hawawapendi msimshangae sana
 
Tapeli wa mapenzi huyo...ameona kuliko kutubu dhambi ni bora afe na dhambi ya kuzini...watu wengi wakifa huwa wanakimbilia kutubu ila huyu ni ibilisi

Vacccine vial monitor
 
Mdogowangu 😀😀
 
Kuishi na mtu huna hisia nae mwishowake ni kufanya maovu tu Mungu atusaidie,viatu vya huyo mumewe ni vizito
 
Ni kweli
 
Hilo liko wazi,wanawake wanajua,na sisi wanaume tunajua.Anayeamua kumuoa mwanamke ambaye siyo bikra,anakua ameshakata tamaa ya kutafuta aliyebikra,hivyo anaamua tu aishi na mke wa mtu.Hata ikitokeaga mwanaume una wivu na mkeo,huwa maranyingi unaulizwa,ulimkuta akiwa bikra?ukijibu hapana,kikao kinafungwa.
Mke aliye olewa bila bikirahuyo sio wako
 
Peponi kuna bikra 72, asubirie huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…