Love is blindHabari,
Hata kama wanasema love is blind lakini hapa bro nahisi sio akili yake kwa ninavyomjua mimi nahisi kabisa ni juju limetumika hata bi mkubwa nae alivyo tambulishwa niliona kabisa hajaridhika sababu bimkubwa ni mtu wa kiroho sana hata sister nae hivyo hivyo wanasema hawaendani lakini bro humwambii kitu sijui kapewa nini masikini.
Si hoja hiyoBro hataki kesi nyingi za kugongewa
[emoji1611][emoji28]Mi mwenyew hao wanawake wenu ka midol siwaelew kabisa
Inakuhusu nini wewe kama ueye kampenda na karidhia kuoa na wewe tafta wakoHabari,
Hata kama wanasema love is blind lakini hapa bro nahisi sio akili yake kwa ninavyomjua mimi nahisi kabisa ni juju limetumika hata bi mkubwa nae alivyo tambulishwa niliona kabisa hajaridhika sababu bimkubwa ni mtu wa kiroho sana hata sister nae hivyo hivyo wanasema hawaendani lakini bro humwambii kitu sijui kapewa nini masikini.
Kuna wanaume hawapendi complications wakati wa kutongoza na wakati wa mahusiano, wanaamini mwanamke mwenye sura na shepu mbaya ni rahisi kumpata..yani mtu anaona mademu wenye sura mbaya ndo class yake..Bro hataki kesi nyingi za kugongewa
Wahuni hawana nidhamu mkuu, hata awe mbovu wanachapa tu.Bro hataki kesi nyingi za kugongewa
Mtalajiwa = Mtarajiwa.Habari,