Mke mtarajiwa wa kaka hatujamuelewa kabisa

Mke mtarajiwa wa kaka hatujamuelewa kabisa

Nyamwage

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2020
Posts
712
Reaction score
1,748
Habari,

Hata kama wanasema love is blind lakini hapa bro nahisi sio akili yake kwa ninavyomjua mimi nahisi kabisa ni juju limetumika hata Bi mkubwa nae alivyotambulishwa niliona kabisa hajaridhika sababu Bi Mkubwa ni mtu wa kiroho sana hata sister nae hivyo hivyo wanasema hawaendani lakini bro humwambii kitu sijui kapewa nini masikini.
 
Habari,

Hata kama wanasema love is blind lakini hapa bro nahisi sio akili yake kwa ninavyomjua mimi nahisi kabisa ni juju limetumika hata bi mkubwa nae alivyo tambulishwa niliona kabisa hajaridhika sababu bimkubwa ni mtu wa kiroho sana hata sister nae hivyo hivyo wanasema hawaendani lakini bro humwambii kitu sijui kapewa nini masikini.
Love is blind

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari,

Hata kama wanasema love is blind lakini hapa bro nahisi sio akili yake kwa ninavyomjua mimi nahisi kabisa ni juju limetumika hata bi mkubwa nae alivyo tambulishwa niliona kabisa hajaridhika sababu bimkubwa ni mtu wa kiroho sana hata sister nae hivyo hivyo wanasema hawaendani lakini bro humwambii kitu sijui kapewa nini masikini.
Inakuhusu nini wewe kama ueye kampenda na karidhia kuoa na wewe tafta wako
 
Bro hataki kesi nyingi za kugongewa
Kuna wanaume hawapendi complications wakati wa kutongoza na wakati wa mahusiano, wanaamini mwanamke mwenye sura na shepu mbaya ni rahisi kumpata..yani mtu anaona mademu wenye sura mbaya ndo class yake..

Utakuta bro wa mtoa mada hajalogwa, kaona mademu wazuri sio class yake, hataki stress kwenye mahusiano Nyamwage Joanah
 
Habari,

Hata kama wanasema love is blind lakini hapa bro nahisi sio akili yake kwa ninavyomjua mimi nahisi kabisa ni juju limetumika hata bi mkubwa nae alivyo tambulishwa niliona kabisa hajaridhika sababu bimkubwa ni mtu wa kiroho sana hata sister nae hivyo hivyo wanasema hawaendani lakini bro humwambii kitu sijui kapewa nini masikini.
Mtalajiwa = Mtarajiwa.

Sukari ya bro, atalala naye chumbani kwake, ndiye aliyempenda kuishi naye maishani, ndugu yawakera kama ni mali yao, kama kaoa kuwaridhisha wao, kwanini msimpongeze na muwaache waishi maisha yao?

Kwanza muwapishe waponde maisha haya mafupi. Acheni kuingilia mapenzi yake. TAFUTENI WAKE ZENU NANYI MFURAHIE MAISHA.
 
Back
Top Bottom