Ee bhana hii issue mmoja yupo DSM mwingine yupo Dom imeleta migogoro sana kwenye ndoa. Juzi msela kakutwa na demu baada ya mke kusafiri usiku kuja Dodoma alifika saa nane usiku na kumkuta mshkaji kavuta mwanamke mwingine. Mpaka sasa hawaelewani na mke anaomba talaka.
Hii nimeona nishare hapa ili watu wengine wajifunze. Me nimemshauri akaombe msamaha kwa mwanamke yaishe. Jamaa hataki...hii imekaaje kwa ndoa za namna hii na kuhama inakuwa ngumu maana mmoja yupo serikalini mwingine yupo private.