Mke na Mme wanakaa mikoa miwili tofauti, Mke asafiri kwenda kwa mmewe na kumkuta na mwanamke mwingine

Mke na Mme wanakaa mikoa miwili tofauti, Mke asafiri kwenda kwa mmewe na kumkuta na mwanamke mwingine

Huyo demu nae saa nane usiku alikua anataka nini au alitegemea mme wake atakua amekumbatia ukitu na baridi yote hii?
Alikua anatafuta sababu za kuachana na mme maybe kapata wa karibu.
Aliwah pia kumfuma na sms kibao za huo mchepo ndio maana mwanamke akastukiza usiku...hizi hamisha zinahariba balaa na wanaume sio wavumilivu kukaa miez bila kupata huduma ni balaa.
 
Unakujaje usiku wa saa nane kwanza na bila kutoa taarifa?

Halafu mchepuko huwa haupelekwi nyumbani.
Umeona balaa hilooo jamaa tulishamwambia demu wa kuchukua humpeleke geto ni kosa maana wakati mwingine atakuibukia muda ambao upo na mke wako
 
Mshauri aoe wake wawili

suala la Dom Dar linataka hekima na utulivu
Vinginevyo mtaleteana magonjwa.,ukweli ni kwamba watu si waaminifu kama inavyoonekana

heri kurasimisha mmoja huku mmoja kule
 
nianze na vitu tusivyovikubali wengi
  1. kwa mwanaume kufumaniwa si kosa ila ni bahati mbaya mazingira yetu ya udhaifu na jinsi tunavyotegwa mchana kutwa inawezekana yakatokea hayo kwake yeye ni kwanini aliuza menchi nyumbani kwake!
  2. hivi mazingira ya Dodoma mnayajua vizuri kwa sasa? huku ni kuku na bia mpaka wakizoea ndo watatulia
  3. waliohamishiwa Dodoma wengi ni vijana wadogo wenye umri wa kati ya miaka 27-35 hivyo utulivu bado.
kwa kosa hili halihitaji talaka labda taraka wanahitaji kuyasawazisha bahati mbaya wanawake huwa wako kwenye mission na uwezo wao ni wa ghafla hawako tayari kuvumilia ili maisha yaende.
 
Huyu mwanaume nae, kuuleta mchepuko kwenye matrimonial bed ni kitu kibaya sana. Angekwenda kugegeda huko huko, take away zinaliwa hukohuko nyumbani ukirudi ni kuoga na kulala.

Mnalalamika mikosi inawaandama laana nyingine ni za kujitafutia wenyewe.
From the story sio kwamba their matrimonial bed iko Dar? Maana seems mwanaume alihamia kikazi Dodoma, akaacha mke na matrimonial bed huko Dar.
 
Huyu mwanaume nae, kuuleta mchepuko kwenye matrimonial bed ni kitu kibaya sana. Angekwenda kugegeda huko huko, take away zinaliwa hukohuko nyumbani ukirudi ni kuoga na kulala.

Mnalalamika mikosi inawaandama laana nyingine ni za kujitafutia wenyewe.
Gharama ya guests watoto a watasoma ukianza kugharamikia mchepuko kwa hotel, ni expensive: chumba 30k drinks 30k tax 20k to en from Hongo 50k. Jumla 130k duh wakati na kesho utahitaji huduma hiyo hiyo ni bora nipeleke home pesa nyingine ni hudumie familia kama mbaya mbaya
 
Mfuate kwake na kama ni mchepuko wa kudumu top ya rent yake. Kama huwezi fharama nunua sabuni ya dove.
 
Back
Top Bottom