Mke na Mme wanakaa mikoa miwili tofauti, Mke asafiri kwenda kwa mmewe na kumkuta na mwanamke mwingine

Mke na Mme wanakaa mikoa miwili tofauti, Mke asafiri kwenda kwa mmewe na kumkuta na mwanamke mwingine

Kwenye vikao huwa wanadanganyana mwanaume kuomba msamaha ni uboya eti, wanatakiwa kujimwambafai.....
Mi kwakweli nikiombwa msamaha nalainika nalegea yanaisha moyo unakua mweupe, ili mtu akijimwambafai teh kaharibu....
mtu mwenye haiba kama yako alifaa kuwa mke wangu, manake mm nina vimbwanga kuomba msamaha ndio silaha yangu.....
 
Halafu kwanini aje bila taarifa kama angepata ajali nimesema alikuwa anaenda wapi
 
This woman should accept and move on,Extramarital affair is everywhere today because satan is not happy with peaceful marriages, I hate divorce’ says the lord God of Israel,Malachi 2:16,Infidelity has caused more pains to many families, we need divine intervention
 
Kwenye vikao huwa wanadanganyana mwanaume kuomba msamaha ni uboya eti, wanatakiwa kujimwambafai.....
Mi kwakweli nikiombwa msamaha nalainika nalegea yanaisha moyo unakua mweupe, ili mtu akijimwambafai teh kaharibu....
Kuna namna ya kuomba msamaha ila siyo iyo ya kusema nisamehee mke wangu, shetani kanipitia nikatomb* nje ...wakati ninajua ni kawaida yangu kula mbususu nje.
 
Unakujaje usiku wa saa nane kwanza na bila kutoa taarifa?

Halafu mchepuko huwa haupelekwi nyumbani.
Mimi ningemwambia unaota ndogo mpaka thanks kesho ndo tutaongea,kesho unampa gift na shopping na kumwambia,usiote,like lilikuwa jini
 
Huyu mwanaume nae, kuuleta mchepuko kwenye matrimonial bed ni kitu kibaya sana. Angekwenda kugegeda huko huko, take away zinaliwa hukohuko nyumbani ukirudi ni kuoga na kulala.

Mnalalamika mikosi inawaandama laana nyingine ni za kujitafutia wenyewe.
Huu ushauri tuufanyie kazi wakuu.
 
Mwanamke ndio anapaswa kuomba msamaha wanaume huwa hatuombi msamaha hata km kosa ni letu ova...
 
Kwa ufupi jamaa kamchoka mkewe. Angekua anampenda angeomba msamaha haraka sana
Yes that's a hundred percent true, huwezi mpenda mke na familia yako halafu ukafanya ujinga yes, ukafumwa yes, then uone shida kuomba msamaha. Kwanza tunapowatesa kisaikolojia wenzetu tunaowapenda unakuta na wew huna raha na unajisikia vibaya na kukosa amani!
 
Back
Top Bottom