Mke na Mme wanakaa mikoa miwili tofauti, Mke asafiri kwenda kwa mmewe na kumkuta na mwanamke mwingine

Mke na Mme wanakaa mikoa miwili tofauti, Mke asafiri kwenda kwa mmewe na kumkuta na mwanamke mwingine

Mchepuko hauna haki ya sleep over hata kidogo
Hapo mwamba amefeli na alichoharibu zaidi kukataa kuomba msamaha na kukiri kosa lake la uhaini
Kukataa kukiri /kuomba msamaha kuna dhihirisha uzandiki wake ulivyo wa hali ya juu
 
Simlaumu huyu jamaa kwa kuchepuka, Ila amefanya makosa sana kupeleka mchepuko mahali anapolala na mke wake.

Lakini pia kama ni mtu anayethamini ndoa yake angalau angejishusha ili kuzuia ndoa kuvunjika. The fact kwamba alifumaniwa alipaswa kuomba samahan kwa mkewe angalau kuonyesha kujutia jambo alilofanya.
 
Huyo mwanamke nae awe serious.
Hivo tu ndio aombe talaka? Labda kama alikua anatafuta sababu ya kuachana.

Aisee, hivi angekutwa mwanamke na mwanaume mwingine hali ingekuwaje [emoji848][emoji848] niwajuavyo wanaume huwa hawasamehe kosa la ku cheat. Dada ni haki yake kuomba talaka
 
Back
Top Bottom