[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyo mwanamke nae awe serious....
hivo tu ndio aombe talaka? Labda kama alikua anatafuta sababu ya kuachana.
"Matrimonial bed"Huyu mwanaume nae, kuuleta mchepuko kwenye matrimonial bed ni kitu kibaya sana. Angekwenda kugegeda huko huko, take away zinaliwa hukohuko nyumbani ukirudi ni kuoga na kulala.
Mnalalamika mikosi inawaandama laana nyingine ni za kujitafutia wenyewe.
a bed that married people share —sometimes used figuratively to refer to marriage in general or to the sexual relations that married people have the sorrows of their marriage bed."Matrimonial bed"
Niende zangu google mara moja
Ffb zxc bbç GB BN bñ BV BNBHuyo mwanamke nae awe serious....
hivo tu ndio aombe talaka? Labda kama alikua anatafuta sababu ya kuachana.
Kumwomba msamaha mwanamke kwa kosa la kukutwa na mwanamke ni udhaifu!!!Ee bhana hii issue mmoja yupo dsm mwingine yupo dom imeleta migogoro sana kwenye ndoa. Juzi msela kakutwa na demu baada ya mke kusafiri usiku kuja dodoma alifika saa nane usiku na kumkuta mshkaji kavuta mwanamke mwingine. Mpaka sasa hawaelewani na mke anaomba taraka.....
Hii nimeona nishare hapa ili watu wengine wajifunze. Me nimemshauri akaombe msamaha kwa mwanamke yaishe. Jamaa hataki...hii imekaaje kwa ndoa za namna hii na kuhama inakuwa ngumu maana mmoja yupo serikalini mwingine yupo private.
A single mistake cannot be a reasonable ground for petition of Divorce.Huyo mwanamke nae awe serious....
hivo tu ndio aombe talaka? Labda kama alikua anatafuta sababu ya kuachana.