Mke na mume tumeleta mashtaka kwenu

Kama aliambiwa hivyo na wifi yake,alitakiwa arudi kwangu tushauriane cha kufanya , kwasababu nilishamwambia staki uwasiliane na mzazi mwenzako Moja Kwa moja nenda Kwa wifi yako, kufanya tofauti na makubaliano yetu ni usaliti.
Wewe hukuona wanawake wengine mpaka ukaoa single maza?? sasa jamaa anataka kuongea na mwanae amtumie za matumizii rohoo inakuuma.. sema unachapiwaaa mzee pole
 
Wewe hukuona wanawake wengine mpaka ukaoa single maza?? sasa jamaa anataka kuongea na mwanae amtumie za matumizii rohoo inakuuma.. sema unachapiwaaa mzee pole
Asante Mkuu,ila wanaochapiwa sio waliooa single mother tu liweke akilini hilo
 
Wivu wa kifala tuu Hata ukioa mwanamke asiye na mtoto haimaanishi hautagongewa, so huu wako ni wivu wa kifala tu hakuna lingine
Una-sound kisingo mama single mama,unao wangapi?

Niliweke hili sawa;wewe kama mwanamke huwezi kujisikia kama tunavyojisikia sisi wanaume tukiona mwenzetu anateseka na nyie mliokimbilia maisha kwa njia haramu!!!
 
Atakuwa nao watatu kila mtoto na baba yake,ana hasira huyo.
 
Haki sawa siyo!!!

Haki sawa zitawapa hizi serikali zenu dhalimu za kidunia kwa kuwadanganyia ajira na fursa ukitaka haki sawa kwenye nature kufa ukaidai kwa Mungu.
Chukua time na wewe, wanawake ni viumbe wenye hisia Km mlivyo nyinyi Sio marobot
 
Una-sound kisingo mama single mama,unao wangapi?

Niliweke hili sawa;wewe kama mwanamke huwezi kujisikia kama tunavyojisikia sisi wanaume tukiona mwenzetu anateseka na nyie mliokimbilia maisha kwa njia haramu!!!
Unajihangaisha bure mimi Sio single maza, na Km ningekua I was going to care less your opinion, nimeongea Km mwanamke unless hii topic mlitaka wanaume peke yake ndio wachangie
 
Chukua time na wewe, wanawake ni viumbe wenye hisia Km mlivyo nyinyi Sio marobot
Sichukui time wala nini ninachokwambia kama unataka haki kufa kaidai kwa Mungu sisi wanaume tunachojua Mungu toka mwanzo alitutaka tuowe wanawake kamili tena bikra ninyi makopo tuwaachie waliowazalisha sema ni ajali tu zinatokea kama hivi kwa mleta mada ila hamtakiwi hata kwa bure
 
mie nilisha apa kwamba kuoa mwanamke single mother ni lazima akanionyeshe kaburi au cheti cha kifo cha aliyezaaa nae
 
Unajihangaisha bure mimi Sio single maza, na Km ningekua I was going to care less your opinion, nimeongea Km mwanamke unless hii topic mlitaka wanaume peke yake ndio wachangie
Nimekusoma katikati ya mistari yako wewe ni single mama tena zaidi ya mara moja maana povu ulilojaza huko juu hatuwezi kusema tofauti.

Yah hii mada single mamas mngeiacha tushauri wanaume na wale wenzenu ambao hawajazalia makwao maana tungejadili kwa uhuru nyie mnajadili kwa mihemko
 
Weee Una matatizo mengi kumbe, lingine ni kiherehere, kukurupukia yasio kuhusu! Huyo mkeo kakuvumilia mengi sana….. hutompata mke Km Huyo kwiii kwii !
Nitakupata wewe chondechonde usije nikataa.
 
Watu mna mapovu sana, single mothers wakimbilie wap sasa[emoji23]
 
Sahihi kabisa,nilimwambia hivi akitaka mchezo akanunue condom tutumie namimi nikitaka nitaenda kununua condom,mpaka sasa hakuna aliyekwenda kununua condom ,tunatizamana tu.
Leo ndo nimekutana na mwanaume mpumbavu anaeivunja ndoa kwa mikono yake ye mwenyewe
 
Kama aliambiwa hivyo na wifi yake,alitakiwa arudi kwangu tushauriane cha kufanya , kwasababu nilishamwambia staki uwasiliane na mzazi mwenzako Moja Kwa moja nenda Kwa wifi yako, kufanya tofauti na makubaliano yetu ni usaliti.
Lakin jambo la kutokuwasiliana na mzazi mwenzie ni gumu mno,kama una wivu sana usingeoa singo maza,kuna siku mtoto atakuwa mkubwa atamaliza hatua fulani ya elimu na mama ake atatakiwa kwenda kwenye mahafali na baba ake nae ataenda na wewe itatokea uwe uko busy yaan huwez kwenda ina maana utamzuia mkeo asiende
 
Daaah mwananguuu some time maamuzi magumu ndo maamuzii sahihi

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…