Mke na mume tumeleta mashtaka kwenu

Mke na mume tumeleta mashtaka kwenu

Kwakuwa naye anasoma hizi comments naamini atalifanyia kazi
Mjomba wote wewe na mkeo mpo humu Jukwaani? Halafu anasoma hii thread

Asee nyie kiboko,ila nikwambie kitu mwanangu ''wewe'' na ''mkeo'' wote mnamakosa

siwezi washauri kitu ila wote nyie wawili sioni upendo kati yenu kwasasa,si wewe

wala si mkeo kila mtu kashapoteza taste kwa mwenzake (hasa wewe) nadhani

kwa kua wote ni wanachama wa JF mnaujua uzi wa RIKIBOY hebu njooni kule turefresh

maswala ya ndoa ya watu wazima tena watu wazima wanaoijua JF asee nyie mko above utu uzima. twenzetuni kwa rikiboy tu.
 
Ndoa za kikristo ziangaliwe upya,hizi ahadi za mpaka kifo kitutenganishe

hii ahadi ni ngumu nyie,yani ni sawa mtu una njaaa halafu unaletewa

wali marage unaambiwa hiki apa,kwanza APA utakubali kula wali maharage

maisha yako yote,unajua ni rahisi sana kuapa kutokana na njaa na hamu

ya ule wali maharage,ila kula wali marage au aina moja ya chakula maisha yako yote

wajomba acheni masihara ahadi zingine tuzifanyie editing,Mjomba mshachokana nyie.
 
Kwanza mTAG wife tumuulize kama ni kweli au unamsingizia,

maana wanaume wa siku hizi mnasingizia sana wenzenu.
 
Wewe hapo ndio una Makosa kwa mtazamo wangu. Makosa kivipi?

1. Kuoa (Sijui umri wako ila under 40 mapema sana)
2. Kuoa tayari mtu anamtoto hafu BABA YAKE yupo hai na mzima (inabidi awe alifariki au yupo Milembe)
3. Kumchunguza mke wako.
4. Kutumia condom kwa mkeo iyo dharau aisee. Sijaona lakini mh iyo dharau kubwa.
5..

[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16] brother angu [mention]Mad Max [/mention] kwenye moja na mbili
 
Miaka nenda rudi humu watu wamekuwa wakipiga kelele kuhusu haya mambo ya kuanza match mpinzani akiongoza (mimi nimeijua Jamiiforums 2009 toka kipindi hiko wapo watu wakisisitiza mwanaume timamu kutokuowa single mama mara ya kwanza kujiunga 2013 na mimi nikawa nakazia ushauri huu huu kwamba kuowa hii type ni laana) ila bado watu tunashindwa kwenda na beat!!!

Pole chief,from now on kwa sababu umeshastuka pambana tu kujiimarisha namna bora ya kutunza wanao kabla hajawajaza nao sumu mbaya wakakuona kama mdoli yeye mwache apambane na mwanae kwenye hizo route za kufata matumizi kwa mzazi mwenzake ikitokea amechakatwa (mimi ni mwanaume lazima itatokea) asiwe chini ya himaya yako tena.

Singo mama ni laana,ogopa sana huo upupu!
 
Nyie Mnaosema usioe single mama mnachosha, mbona hatusemi usiolewe na single faza huu ni unyanyasaji
Haki sawa siyo!!!

Haki sawa zitawapa hizi serikali zenu dhalimu za kidunia kwa kuwadanganyia ajira na fursa ukitaka haki sawa kwenye nature kufa ukaidai kwa Mungu.
 
Miaka nenda rudi humu watu wamekuwa wakipiga kelele kuhusu haya mambo ya kuanza match mpinzani akiongoza (mimi nimeijua Jamiiforums 2009 toka kipindi hiko wapo watu wakisisitiza mwanaume timamu kutokuowa single mama mara ya kwanza kujiunga 2013 na mimi nikawa nakazia ushauri huu huu kwamba kuowa hii type ni laana) ila bado watu tunashindwa kwenda na beat!!!

Pole chief,from now on kwa sababu umeshastuka pambana tu kujiimarisha namna bora ya kutunza wanao kabla hajawajaza nao sumu mbaya wakakuona kama mdoli yeye mwache apambane na mwanae kwenye hizo route za kufata matumizi kwa mzazi mwenzake ikitokea amechakatwa (mimi ni mwanaume lazima itatokea) asiwe chini ya himaya yako tena.

Singo mama ni laana,ogopa sana huo upupu!
Taratibu jamaa ,laana io vipi

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndio mwenye matatizo, muache huyo mama endelea na maisha Yako.

Kama huwezi kuishi na mwanamke mwenye mtoto ni heri umuache! Ulijua ana mtoto tangu mwanzo, uchumi umebadilika unasema huwezi kumlea mtoto wake. Je ingekuwa ni wanao wote wawili na uchumi umebadilika ungefanyaje?

Huwezi kujisimamia kimaamuzi, umelazimisha mwenyewe waanze kuwasiliana.

Mwisho mwanamke mwenye mtoto hata umpe Kila kitu ila mtoto wake hapati huduma, hawezi kuridhika kuona yeye anaishi vizuri mtoto wake haishi vizuri au hajui kesho ya mwanae. Labda kama mwanamke asiyejitambua.

So wanaume kama hamuwezi kuwatunza wanawake wenye watoto ni heri muwaache tu, msiwaongeze mizigo ya watoto wengine Kisha muanze kuwageuka.
Nakubaliana na wewe asilimia 100% Umefanya maamuzi kwa hasira lkn si kwa akilu yako timamu kinachokusumbua ni WIVU na UKOLONI je angekuwa mtoto wako na uchumi umeyumba ungemuacha sio wako ndio maana umemuacha
 
Mkuu nani kakwambia nimemuacha?
 
Y

Yeye ndo alimruhusu wamtafute,kuna uwezekano,wifi yake alimwambia aongee nae tu moja kwa moja
Kama aliambiwa hivyo na wifi yake,alitakiwa arudi kwangu tushauriane cha kufanya , kwasababu nilishamwambia staki uwasiliane na mzazi mwenzako Moja Kwa moja nenda Kwa wifi yako, kufanya tofauti na makubaliano yetu ni usaliti.
 
Back
Top Bottom