CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 7,001
- 23,449
Mjomba wote wewe na mkeo mpo humu Jukwaani? Halafu anasoma hii threadKwakuwa naye anasoma hizi comments naamini atalifanyia kazi
Asee nyie kiboko,ila nikwambie kitu mwanangu ''wewe'' na ''mkeo'' wote mnamakosa
siwezi washauri kitu ila wote nyie wawili sioni upendo kati yenu kwasasa,si wewe
wala si mkeo kila mtu kashapoteza taste kwa mwenzake (hasa wewe) nadhani
kwa kua wote ni wanachama wa JF mnaujua uzi wa RIKIBOY hebu njooni kule turefresh
maswala ya ndoa ya watu wazima tena watu wazima wanaoijua JF asee nyie mko above utu uzima. twenzetuni kwa rikiboy tu.