Mke na mume tumeleta mashtaka kwenu

Mke na mume tumeleta mashtaka kwenu

Wewe ndio mwenye matatizo na una wivu wa kishamba na unauchoyo pia,pia unajiona sana kuwa wewe ndo kila kitu,pia inaonekana huyo mtoto humpendi

Kama uchumi umeporomoka kamchukueni mtoto mkae nae

Sema tu kwasasa umemchoka mkeo

Sio kila kitu lazima mwanamke akuambie,hata wewe kuna mengine humuambii mkeo

Inshu ya jamaa kukubal kutoa matumiz na mkeo kukuficha hiyo sio inshu sana,huenda mkeo anataka kuhifadhi hyo hela utakayokuwa unampa na kuifanyia makubwa zaid yatakayowasaidia wote
Sasa wewe sijui unaaongea nini,yani uwasiliane na mzazi mwenzako kisirisiri wakati kama baba nimetoa warning ni,unaona sawa??
Na kwanza kama baba wa mtoto yuko hai,amchukue mwanae amuhudumie mwenyewe.

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Kosa ni wewe kuoa single mother. Kosa kubwa mno na ni laaana kizazi chako chote.
 
Nimesoma ushauri mbalimbali uliopewa. Nami naomba nishauri hivi. Huu ndo muda wa kukaa chini na kuongea kama familia. Mlikutana ninyi wawili, mkapendana ninyi wawili, mkaanzisha familia ninyi wawili. Sisi tutawasindikiza tu lakini kila mtu ana safari yake.
Kwako mwanaume: wewe ni kiongozi, mkuu wa hiyo kaya na dereva pia. Ongea na my wako. Mueleze kilichokukasirisha. Na sasa kama unaweza pascal kaandika transaparency ni muhimu. Mwambie kuanzia sasa mawasiliano yote ya kuhusu mtoto utayafanya wewe kama baba. Yani baba na baba waongee. Ili kuziua hizi doubts. Chukua mtoto. Kaeni nae. Treat them equally if you can. Jitahidi. Mawasiliano yawepo kati ya wewe na upande wa pili na sio mama. Kama mama atahitajika basi wapitie kwako. Hii ni ili kueliminate trace za doubts, uongo na usiri. Hii itakata mzizi wa fitna. Wapendeni wake zenu msiwe na uchungu nao.

Kwako mwanamke: Kiburi ni tangulizi la anguko. Unyenyekevu una neema sana. Na hata Mungu huwapa wanyenyekevu neema. Kwenye suluhu hakuna kiburi hukaa. Lazima unyenyekevu uwepo. Kama unataka kutengeneza shuka. Omba msamaha maana kiukweli si kwamba you are right. Imagine ni mume wako angekua ana mawasiliano ya siri na mpenzi wake wa zaman. Ingekudisturb kidogo. So kubali kosa. Kaa nae muongee mpate suluhu. Mpe authority over mtoto kwakuwa tayari kashaamua kuwa na wewe na alikukubali. Mawasiliano baina yako na mzazi mwenzako yakatike na yeye ndo awe anawasiliana nae kama ikibidi. Maana kama mkiendelea kuwasiliana kutaleta maswali hata ni baadae. Mheshimu, mpende, mtii. Wewe ndo utakaefaidika kukiwa na amani katika familia.

Nawaombea kwa Mungu mtatue hili tatizo. Familia ni msingi wa jamii bora. Msiivunje familia yenu..walk through this battle. Nawaaminia. Kila mmoja asimame nafasi yake vizuri. Tunapotoka kwenye nafasi zetu ndipo adui huja na kupenyeza cha kwake. Wanaolengwa ni hao watoto. Wakiharibika jamii ndio itakayopata tabu. Najua mnaweza. Mungu awasaidie.
 
Ni mwanaume asie na maarifa na hayawani anaweza kuoa single mother. Tutabishana we giza litaingia ila ukweli ni kua japo kila ndoa ina changamoto ila ndoa ya kuoa single mother ina masuper dupa changamoto, madhila na matatizo mengi na makubwa kama bahari.

Kwanza hata mwanamke mwenyewe single mother ile kumuoa tu, lazima akudharau kimoyo moyo maana anajua wewe ni low value man hauna uwezo wa kuruka na wanawake wasafi wabichi ndio maana umemchukua yeye.

Na hata single mother mwenyewe hayuko tayari mtoto wa wa kiume aje kuoa single mother. In short inahitaji ufala wa hali ya juu sana kuoa single mother.
 
Endelea kutumia condom tu. Na iwapo utaendelea kuhisi humwamini vunja hiyo ndoa. Hakuna mapenzi pasipo kuamininiana. Kama roho yako haina amani na mkeo, usilazimishe mpe nafasi.

Na kwa wanawake wenye mtoto, usiolewe tu ovyo ovyo. Vijana hawajiamini hata kama ww sio malaya kwa vijana wa sasa ndoa yako haiwezi kuwa salama as long as una mtoto na baba yake yupo. Pambaneni na biashara mlee watoto wenu.
 
Nimesoma ushauri mbalimbali uliopewa. Nami naomba nishauri hivi. Huu ndo muda wa kukaa chini na kuongea kama familia. Mlikutana ninyi wawili, mkapendana ninyi wawili, mkaanzisha familia ninyi wawili. Sisi tutawasindikiza tu lakini kila mtu ana safari yake.
Kwako mwanaume: wewe ni kiongozi, mkuu wa hiyo kaya na dereva pia. Ongea na my wako. Mueleze kilichokukasirisha. Na sasa kama unaweza pascal kaandika transaparency ni muhimu. Mwambie kuanzia sasa mawasiliano yote ya kuhusu mtoto utayafanya wewe kama baba. Yani baba na baba waongee. Ili kuziua hizi doubts. Chukua mtoto. Kaeni nae. Treat them equally if you can. Jitahidi. Mawasiliano yawepo kati ya wewe na upande wa pili na sio mama. Kama mama atahitajika basi wapitie kwako. Hii ni ili kueliminate trace za doubts, uongo na usiri. Hii itakata mzizi wa fitna. Wapendeni wake zenu msiwe na uchungu nao.

Kwako mwanamke: Kiburi ni tangulizi la anguko. Unyenyekevu una neema sana. Na hata Mungu huwapa wanyenyekevu neema. Kwenye suluhu hakuna kiburi hukaa. Lazima unyenyekevu uwepo. Kama unataka kutengeneza shuka. Omba msamaha maana kiukweli si kwamba you are right. Imagine ni mume wako angekua ana mawasiliano ya siri na mpenzi wake wa zaman. Ingekudisturb kidogo. So kubali kosa. Kaa nae muongee mpate suluhu. Mpe authority over mtoto kwakuwa tayari kashaamua kuwa na wewe na alikukubali. Mawasiliano baina yako na mzazi mwenzako yakatike na yeye ndo awe anawasiliana nae kama ikibidi. Maana kama mkiendelea kuwasiliana kutaleta maswali hata ni baadae. Mheshimu, mpende, mtii. Wewe ndo utakaefaidika kukiwa na amani katika familia.

Nawaombea kwa Mungu mtatue hili tatizo. Familia ni msingi wa jamii bora. Msiivunje familia yenu..walk through this battle. Nawaaminia. Kila mmoja asimame nafasi yake vizuri. Tunapotoka kwenye nafasi zetu ndipo adui huja na kupenyeza cha kwake. Wanaolengwa ni hao watoto. Wakiharibika jamii ndio itakayopata tabu. Najua mnaweza. Mungu awasaidie.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Tulioana miaka kadhaa iliyopita na tumejaaliwa watoto wawili. tTulioana mke wangu akiwa na mtoto mmoja aliyezaa akiwa kwao. Miaka ya mwanzoni uchumi uliruhusu kutoa huduma hata kwa mtoto wake ambaye anaishi na mjomba wake, baada ya uchumi kuyumba nikamwambia mwenzangu ongea na shangazi yake mtoto amwambie kaka yake aanze kumhudumia mtoto wake.

Nilifanya hivyo kwasababu sikutaka mke wangu awasiliane moja kwa moja na mzazi mwenzake, mke wangu akakataa akasema hawezi kufanya hivyo. Miezi kadhaa akaja akaniambia alishamtafuta mzazi mwenzake ila alimjibu vibaya, hivyo hana mpango wa kumtafuta tena na namba zake amefuta.

Nikamuuliza mbona nilikwambia umtafute dada yake ukakataa, ilikuwaje ukaanza kuwasiliana na mhusika moja kwa moja? Akajitetea yakaisha, lakini moyoni nikawa na mashaka. Ikabidi nianze kufanya uchunguzi kimya kimya nijue kinachoendelea,

Mungu sio mwanasiasa, kuna siku alikuwa ameenda shamba halafu akasahau simu nyumbani. Nikaanza kuipekua ndipo nikakuta simu ambazo yeye alikuwa akimtafuta mzazi mwenzake, pia nilikuta jumbe alizomtumia wifi yake akilalamika kwamba mzazi mwenzake hapokei simu, na baadaye jumbe ambazo zinaonyesha kwamba tayari wamewasiliana na jamaa na kakubali kwamba atakuwa anatoa hela za ada pamoja na mahitaji mengine.

Aliporudi nikamuuliza kwanini unarudia kosa lile lile mara ya pili, mimi ndiye niliyekupa ushauri halafu hutaki kunishirikisha kwanini? Je, nikisema unamtafuta kwa ajili ya usaliti nitakuwa nakosea? Kama kawaida yake akaanza kujitetea, lakini utetezi wake haukuiniingia moyoni, ikabidi nifanye maamuzi haya;

Nikamwambia hivi, "Sitolala na wewe bila kutumia condom usije ukaniletea maradhi, hawa watoto wawili wanatosha ukitaka mtoto kazae na huyohuyo mzazi mwenzako, na mimi nikitaka nitamfuta wa kuzaa naye".

Sasa yeye anadai namnyanyasa, namuonea kwasababu ana mtoto aliyezaa na mwanaume mwingine, na hataki kukubaliana na maamuzi yangu. Ila mpaka sasa wanaendelea kuwasiliana na mzazi mwenzake kuhusiana na masuala ya mtoto wao.

Je, nani mwenye kosa hapo, mimi au yeye?
Umepaniki. Kwani mademu wa kupiga wameisha kitaa?
 
Ni mwanaume asie na maarifa na hayawani anaweza kuoa single mother. Tutabishana we giza litaingia ila ukweli ni kua japo kila ndoa ina changamoto ila ndoa ya kuoa single mother ina masuper dupa changamoto, madhila na matatizo mengi na makubwa kama bahari.

Kwanza hata mwanamke mwenyewe single mother ile kumuoa tu, lazima akudharau kimoyo moyo maana anajua wewe ni low value man hauna uwezo wa kuruka na wanawake wasafi wabichi ndio maana umemchukua yeye.

Na hata single mother mwenyewe hayuko tayari mtoto wa wa kiume aje kuoa single mother. In short inahitaji ufala wa hali ya juu sana kuoa single mother.
Kumbe una akili timamu ila ukiamua unajitoa ufahamu,kosa langu kuu ni hilo kuoa single mother,lakini nimeshakwambia huyu mke wangu alikuwa na mumewe ambaye ni marehemu,nilimuoa nikijua ni mjane mwenye mtoto mmoja ila sikujua kama huyu mtoto si wa marehemu ni wa mwanaume mwingine ambaye alizaa naye kabla hajaolewa.
 
Malkia wa nguvu kakumbuka dushe lililomvunja biqra
 
Tulishawaambia, kuoa single mother ni sawa na kununua kiwanja chenye mgogoro. Hamuelewi tu?
Vijana wanadanganyika na lile uno wanalopewa wakati single maza anataka ndoa. Unapumbazwa na utamu na kujituma kwa single maza🤣🤣🤣🤣🤣
Mwenye nusu niingie chaka kwa utamu wa ile mbususu
 
Ni mwanaume asie na maarifa na hayawani anaweza kuoa single mother. Tutabishana we giza litaingia ila ukweli ni kua japo kila ndoa ina changamoto ila ndoa ya kuoa single mother ina masuper dupa changamoto, madhila na matatizo mengi na makubwa kama bahari.

Kwanza hata mwanamke mwenyewe single mother ile kumuoa tu, lazima akudharau kimoyo moyo maana anajua wewe ni low value man hauna uwezo wa kuruka na wanawake wasafi wabichi ndio maana umemchukua yeye.

Na hata single mother mwenyewe hayuko tayari mtoto wa wa kiume aje kuoa single mother. In short inahitaji ufala wa hali ya juu sana kuoa single mother.
ulichosema ni kweli mkuu mtu kuoa Single Mother ni upungufu mkubwa wa akili and lack Knowledge ,
hata yeye mwenyewe anajijua soko lake halipo tena unavyomuoa kwa nature yako ya akili anamiini amekukamata. pia wewe ni zwazwa!

nina shangazi yangu ni Single mother lakini yeye mwenyewe husema Kijana asioe single mother!
humalizia kwa kusema ni endapo kijana huyo akioa Single mother basi ana mapungufu! sasa ninachokiona huku JF kwa vijana wa sasa hivi kupinga masingle Mother,
hakina tofauti na huyu my auntie her 65age!
 
Hakika mkuu aunt yako yuko sahihi na ni mtu muungwana kaamua kushauri vyema. Amini aunt yako japo ni single mother ila hatapendezwa wewe ukioa single mother hata huyo single mother awe mkurugenzi wa B.O.T whatever

Na kama ulivyosema, kuoa single mother labda mtu unamapungufu ni kilema, kipofu, hanithi nk ila mwanaume gentleman enegetic and health uoe single mother ni ukichaa wa level ya mawingu.

Kuna matatizo watu hujitafutia wenyewe single mother acha akaolewe na vibabu vilivyostaafu huko, kijana huna hata mtoto uchumi uko vizuri unaendaje kuoa single mother. Acha maji yaende na maji

Kuna watu wanasema kuoa single mother mpaka mzazi mwenzie awe amekufa, mimi nauliza yani kwanini uoe single mother ?! HATA kama aliezaa nae amekufa. Kwanini ulee damu isiyoyako ?!

Kazaa na mwanaume kuna mamikataba na maagano ya koo na damu ya watu wengine kuchangana na watoto wako ?! KWANINI MTU USIANZE FRESH FROM THE START ?!!
 
Dah ww jamaa !! Usijimalize sana

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Wivu ukizidi, mapenzi hupungua!. Umezidi sana wivu!. Ukioa mwanamke mwenye mtoto, lazima wazazi wenza wazungumze wellfare ya mtoto. Usiwe na wivu, mwamini mkeo ni wanazungumza tuu issues za mtoto na sio kukumbushia!.

P
Mkuu wewe unaiweza hii?.
 
Nyie wote mnaomlaumu huyo singo maza HAMNA AKILI, mmeshindwa kuona kosa alilolifanya huyo mwanaume la kuacha kuhudumia mtoto mmeliona la singo maza kuwasiliana na baba mtoto, narudia tena HAMNA AKILI
huyo mwanaume kaonesha ubinafsi kwa kuacha kumuhudumia mtoto mlitegemea huyo mama afanye nini? Na uzuri mawasiliano aliyoyakuta hayana kielelezo chochote kwamba wana mahusiano ya kimapenzi sasa kosa lake ni nini hapo?
Mwanamke hajakosea kitu anachofanya ni kumsidia mtoto ambaye mume wake hana msaada tena na kuficha ni katika kuilinda ndoa ili mume asijisikie vibaya.

Wewe mwanaume lea huyo mtoto usisingizie uchumi kumbuka hao wote ni watoto wa mkeo na kwa mkeo hao watoto wote ni sawa sasa hawezi kuvumilia mmoja anakula mwingine anashinda njaa. Kama mwanzo ulikua ukipata 100 unagawa 50 kwa 50 sasa hivi ukipata 50 gawa 25 kwa 25. TUMIA AKILI YAKO VIZURI.

Alafu nyie ambao hamjaoa singo maza mna uhakika hamgongewi? Mna uhakika kabisa?.
Yote haya yasingemkuta kama asingeoa single mother, wanaambiwa hawasikii kabisa hawa watu.
 
Kuna kitu kimoja hapa naona watu wengi hawakitazami kwa uzito wake..ambacho kimekua ni issue kubwa kwa mleta mada nacho ni kufichwa kwa mawasiliano kati ya huyo mke wake na baba mtoto..sasa nashindwa kuelewa ni kwanini mwanamke anamtafuta baba wa mtoto wakati mtoto hakai nae anakaa kwa kaka yake...hilo nalo ni la kujiuliza..mleta mada naona upo sahihi kwa mujibu wa principles zako za kimaisha...
 
Wivu ukizidi, mapenzi hupungua!. Umezidi sana wivu!. Ukioa mwanamke mwenye mtoto, lazima wazazi wenza wazungumze wellfare ya mtoto. Usiwe na wivu, mwamini mkeo ni wanazungumza tuu issues za mtoto na sio kukumbushia!.

P
Tatizo wanawake wenye watoto hua wanawadanganya wanaume kwamba hawawasiliani na baba watoto wao..shida huja mbeleni unamkuta mtu alishakubali hali hio kumbe ulikua unadanganywa...
 
Y
Kuna kitu kimoja hapa naona watu wengi hawakitazami kwa uzito wake..ambacho kimekua ni issue kubwa kwa mleta mada nacho ni kufichwa kwa mawasiliano kati ya huyo mke wake na baba mtoto..sasa nashindwa kuelewa ni kwanini mwanamke anamtafuta baba wa mtoto wakati mtoto hakai nae anakaa kwa kaka yake...hilo nalo ni la kujiuliza..mleta mada naona upo sahihi kwa mujibu wa principles zako za kimaisha...
Yeye ndo alimruhusu wamtafute,kuna uwezekano,wifi yake alimwambia aongee nae tu moja kwa moja
 
Back
Top Bottom