True love is trust, transparency na respect.
Upelelezi ni sumu ya mapenzi.
Tatizo lako ni una wivu sana mpaka hujiamini!. Mapenzi ya dhati ni kuaminiana. Kitendo cha kumkataza mkeo asiwasiliane na mzazi mwenza ni dalili ya wivu ulioputiliza, hivyo kumlazimu mkeo kumtafuta mzazi mwenza kwa siri.
Kitendo cha kuipekua simu ya mkeo ni lack of respect, inayochangizwa na kutojiamini kwako.
A Way Foward.
- Kitendo cha kumbagua mtoto wa mkeo kuwa hali ngumu ya uchumi kutapunguza mapenzi kwako!. Ukipenda boga, penda na ua lake!.
- Ruhusu mawasiliano ya wazi na mzazi mwenza as long as unajua it was over, jiamini you are the one and only now!. Muamini mkeo!.
- Usimpepeleze kwa kumchunguza kwa siri, be open and transparent simu yako ashike, simu yake ishike sio kwa kuipepeleza but being open and transparent with nothing to hide!.
- Kitendo cha kumwambia kuanzia sasa 'mtatumia' ni kumdhalilisha kuwa amekosa uaminifu, wewe unaonyesha ni bullying type!.
- Choose your love and love your choice, ukipenda kweli penda jumla, upendo wa kweli huvumilia, vimilia yote.
HIli dogo tuu linakuumiza kichwa, jee ungekutana na hili kama langu...
Enyi Waume Wapendeni Wake Zenu!-Wife Kanirudia Saa12:00 Asubuhi!-Bado Nampenda! si ungemrudisha alikotoka!.
P