Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Nikushauri kama mwanaume mwenzangu.
1. Kama ulimkubali mkeo akiwa na mtoto,then take responsibilities. Kumumbagua mtoto kwamba ahudumiwe na baba yule ni kumuweka mke wako kwenye mtego wa kurudi kule kule.
2. Ikiwa huwezi kumhudumia huyo mtoto please Fanya utaratibu aende kwa babake manake unamuumiza mkeo kisaikolojia hali itakayochochea mgogoro wa nafsi na mgogoro wa wazi.
3. Usimchunguze sana mkeo maana wewe ndio unafanya awasiliane na mzazi mwenzake kwa kificho.
NB: enyi akina baba mnaotulelea watoto kwa kisingizio cha kuoa masingo maza kumbuka unakuta hatujaachana,nyie ndio mnatuharibia mipango yetu kwa kutunyanganya wachumba.
watunzeni wake na watoto wetu msiwanyanyase....sisi muda wowote tukitaka tunapewa. Tunaletewa...tunachakata na kazi inaendelea.
it never ends!!!!