Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka nimtume kwa nani?
Pole, ila wewe ni mjinga. Mara ngapi hapa tunaongelea madhila ya single mothers ?! Ukajifanya kichwa ngumu, haya yako wapit ?!!Tulioana miaka kadhaa iliyopita na tumejaaliwa watoto wawili. tTulioana mke wangu akiwa na mtoto mmoja aliyezaa akiwa kwao. Miaka ya mwanzoni uchumi uliruhusu kutoa huduma hata kwa mtoto wake ambaye anaishi na mjomba wake, baada ya uchumi kuyumba nikamwambia mwenzangu ongea na shangazi yake mtoto amwambie kaka yake aanze kumhudumia mtoto wake.
Nilifanya hivyo kwasababu sikutaka mke wangu awasiliane moja kwa moja na mzazi mwenzake, mke wangu akakataa akasema hawezi kufanya hivyo. Miezi kadhaa akaja akaniambia alishamtafuta mzazi mwenzake ila alimjibu vibaya, hivyo hana mpango wa kumtafuta tena na namba zake amefuta.
Nikamuuliza mbona nilikwambia umtafute dada yake ukakataa, ilikuwaje ukaanza kuwasiliana na mhusika moja kwa moja? Akajitetea yakaisha, lakini moyoni nikawa na mashaka. Ikabidi nianze kufanya uchunguzi kimya kimya nijue kinachoendelea,
Mungu sio mwanasiasa, kuna siku alikuwa ameenda shamba halafu akasahau simu nyumbani. Nikaanza kuipekua ndipo nikakuta simu ambazo yeye alikuwa akimtafuta mzazi mwenzake, pia nilikuta jumbe alizomtumia wifi yake akilalamika kwamba mzazi mwenzake hapokei simu, na baadaye jumbe ambazo zinaonyesha kwamba tayari wamewasiliana na jamaa na kakubali kwamba atakuwa anatoa hela za ada pamoja na mahitaji mengine.
Aliporudi nikamuuliza kwanini unarudia kosa lile lile mara ya pili, mimi ndiye niliyekupa ushauri halafu hutaki kunishirikisha kwanini? Je, nikisema unamtafuta kwa ajili ya usaliti nitakuwa nakosea? Kama kawaida yake akaanza kujitetea, lakini utetezi wake haukuiniingia moyoni, ikabidi nifanye maamuzi haya;
Nikamwambia hivi, "Sitolala na wewe bila kutumia condom usije ukaniletea maradhi, hawa watoto wawili wanatosha ukitaka mtoto kazae na huyohuyo mzazi mwenzako, na mimi nikitaka nitamfuta wa kuzaa naye".
Sasa yeye anadai namnyanyasa, namuonea kwasababu ana mtoto aliyezaa na mwanaume mwingine, na hataki kukubaliana na maamuzi yangu. Ila mpaka sasa wanaendelea kuwasiliana na mzazi mwenzake kuhusiana na masuala ya mtoto wao.
Je, nani mwenye kosa hapo, mimi au yeye?
Kosa kubwa ni wewe kuoa mwenye mtoto na baba yake yupo, tulishasema waolewe na wanaowapa mimba Kwa sababu hawakubakwa ni Kwa hiari na mapenz yao hao wenye watoto changamoto sana kwenye mahusiano Hapo sio wote, changamoto za singomazasTulioana miaka kadhaa iliyopita na tumejaaliwa watoto wawili. tTulioana mke wangu akiwa na mtoto mmoja aliyezaa akiwa kwao. Miaka ya mwanzoni uchumi uliruhusu kutoa huduma hata kwa mtoto wake ambaye anaishi na mjomba wake, baada ya uchumi kuyumba nikamwambia mwenzangu ongea na shangazi yake mtoto amwambie kaka yake aanze kumhudumia mtoto wake.
Nilifanya hivyo kwasababu sikutaka mke wangu awasiliane moja kwa moja na mzazi mwenzake, mke wangu akakataa akasema hawezi kufanya hivyo. Miezi kadhaa akaja akaniambia alishamtafuta mzazi mwenzake ila alimjibu vibaya, hivyo hana mpango wa kumtafuta tena na namba zake amefuta.
Nikamuuliza mbona nilikwambia umtafute dada yake ukakataa, ilikuwaje ukaanza kuwasiliana na mhusika moja kwa moja? Akajitetea yakaisha, lakini moyoni nikawa na mashaka. Ikabidi nianze kufanya uchunguzi kimya kimya nijue kinachoendelea,
Mungu sio mwanasiasa, kuna siku alikuwa ameenda shamba halafu akasahau simu nyumbani. Nikaanza kuipekua ndipo nikakuta simu ambazo yeye alikuwa akimtafuta mzazi mwenzake, pia nilikuta jumbe alizomtumia wifi yake akilalamika kwamba mzazi mwenzake hapokei simu, na baadaye jumbe ambazo zinaonyesha kwamba tayari wamewasiliana na jamaa na kakubali kwamba atakuwa anatoa hela za ada pamoja na mahitaji mengine.
Aliporudi nikamuuliza kwanini unarudia kosa lile lile mara ya pili, mimi ndiye niliyekupa ushauri halafu hutaki kunishirikisha kwanini? Je, nikisema unamtafuta kwa ajili ya usaliti nitakuwa nakosea? Kama kawaida yake akaanza kujitetea, lakini utetezi wake haukuiniingia moyoni, ikabidi nifanye maamuzi haya;
Nikamwambia hivi, "Sitolala na wewe bila kutumia condom usije ukaniletea maradhi, hawa watoto wawili wanatosha ukitaka mtoto kazae na huyohuyo mzazi mwenzako, na mimi nikitaka nitamfuta wa kuzaa naye".
Sasa yeye anadai namnyanyasa, namuonea kwasababu ana mtoto aliyezaa na mwanaume mwingine, na hataki kukubaliana na maamuzi yangu. Ila mpaka sasa wanaendelea kuwasiliana na mzazi mwenzake kuhusiana na masuala ya mtoto wao.
Je, nani mwenye kosa hapo, mimi au yeye?
Wewe kinachokusumbua ni wivu na kwa akili zako utavunja ndoa yako endelea kusoma comments za wenzio wanao kupa bichwa hutaki mawasiliano lea huyo mtoto kisha weka masharti hakuna mawasiliano yoyoteNdio,ila sikumwambia aende moja kwa moja kwa mzazi mwenzake nilimwambia aende kwa dada yake jamaa
Hata nikivunja sawa tu sijazeeka bado,badala ya mimi kulea mtoto wao itabidi yeye akalee watoto wangu na huyo mwanaume.Wewe kinachokusumbua ni wivu na kwa akili zako utavunja ndoa yako endelea kusoma comments za wenzio wanao kupa bichwa hutaki mawasiliano lea huyo mtoto kisha weka masharti hakuna mawasiliano yoyote
Wewe ndio mwenye shidaTulioana miaka kadhaa iliyopita na tumejaaliwa watoto wawili. tTulioana mke wangu akiwa na mtoto mmoja aliyezaa akiwa kwao. Miaka ya mwanzoni uchumi uliruhusu kutoa huduma hata kwa mtoto wake ambaye anaishi na mjomba wake, baada ya uchumi kuyumba nikamwambia mwenzangu ongea na shangazi yake mtoto amwambie kaka yake aanze kumhudumia mtoto wake.
Nilifanya hivyo kwasababu sikutaka mke wangu awasiliane moja kwa moja na mzazi mwenzake, mke wangu akakataa akasema hawezi kufanya hivyo. Miezi kadhaa akaja akaniambia alishamtafuta mzazi mwenzake ila alimjibu vibaya, hivyo hana mpango wa kumtafuta tena na namba zake amefuta.
Nikamuuliza mbona nilikwambia umtafute dada yake ukakataa, ilikuwaje ukaanza kuwasiliana na mhusika moja kwa moja? Akajitetea yakaisha, lakini moyoni nikawa na mashaka. Ikabidi nianze kufanya uchunguzi kimya kimya nijue kinachoendelea,
Mungu sio mwanasiasa, kuna siku alikuwa ameenda shamba halafu akasahau simu nyumbani. Nikaanza kuipekua ndipo nikakuta simu ambazo yeye alikuwa akimtafuta mzazi mwenzake, pia nilikuta jumbe alizomtumia wifi yake akilalamika kwamba mzazi mwenzake hapokei simu, na baadaye jumbe ambazo zinaonyesha kwamba tayari wamewasiliana na jamaa na kakubali kwamba atakuwa anatoa hela za ada pamoja na mahitaji mengine.
Aliporudi nikamuuliza kwanini unarudia kosa lile lile mara ya pili, mimi ndiye niliyekupa ushauri halafu hutaki kunishirikisha kwanini? Je, nikisema unamtafuta kwa ajili ya usaliti nitakuwa nakosea? Kama kawaida yake akaanza kujitetea, lakini utetezi wake haukuiniingia moyoni, ikabidi nifanye maamuzi haya;
Nikamwambia hivi, "Sitolala na wewe bila kutumia condom usije ukaniletea maradhi, hawa watoto wawili wanatosha ukitaka mtoto kazae na huyohuyo mzazi mwenzako, na mimi nikitaka nitamfuta wa kuzaa naye".
Sasa yeye anadai namnyanyasa, namuonea kwasababu ana mtoto aliyezaa na mwanaume mwingine, na hataki kukubaliana na maamuzi yangu. Ila mpaka sasa wanaendelea kuwasiliana na mzazi mwenzake kuhusiana na masuala ya mtoto wao.
Je, nani mwenye kosa hapo, mimi au yeye?
Acha roho ya ubaguzi wewe eti mtoto wao ulipo muoa hukujua hilo au umemchoka una mtafutia sababu halafu Mwanamke anaweza asiwe na mtoto na akapasha kiporo kwa Ma ex zake wote .Hata nikivunja sawa tu sijazeeka bado,badala ya mimi kulea mtoto wao itabidi yeye akalee watoto wangu na huyo mwanaume.
Na kama ulikuwa hujui daima palipo na upendo pana wivu.
Nimeshamruhusu awe awasiliana naye,ila tutakuwa tufanya tendo la ndoa kwa condom tu,wewe endelea kuniita mshamba ila maamuzi yangu ndio hayo.Yaani umelipenda boga halafu hulitaki ua lake...acha wivu wa kishamba, huwezi kumzuia mwanamke asiwasiliane na mzazi mwenzake
NakaziaPole, ila wewe ni mjinga. Mara ngapi hapa tunaongelea madhila ya single mothers ?! Ukajifanya kichwa ngumu, haya yako wapit ?!!
Kuoa single mother ni kipimo tosha cha uayawani na utindio wa ubongo.
Kwa ujinga wako huu hutopata Mwanamke wa kuishi naeNimeshamruhusu awe awasiliana naye,ila tutakuwa tufanya tendo la ndoa kwa condom tu,wewe endelea kuniita mshamba ila maamuzi yangu ndio hayo.
Nimekupata mkuu,ndio maana nimeamua kutumia condom kwa kuogopa maradhi na watoto wa kupakaziwa.Kosa kubwa ni wewe kuoa mwenye mtoto na baba yake yupo, tulishasema waolewe na wanaowapa mimba Kwa sababu hawakubakwa ni Kwa hiari na mapenz yao hao wenye watoto changamoto sana kwenye mahusiano Hapo sio wote, changamoto za singomazas
1. Kuendelea kuwasiliana na wazazi wenzao licha ya kujifanya hawawataki kwakuwa wametelekezwa mwisho huishia kupasha kiporo na kuna mazingira unaweza kujikuta unaendelea kulea watoto sio wako.
2. Mapenzi yao kuegemea Kwa watoto wao, ukitakiwa kuwagusa au kuwarekebisha ugomvi mkubwa hiyo ya ukraine cha mtoto
Nitapata mjinga mwenzangu,huyu mwenye akili kama zako simuwezi,kwa jinsi ulivyonikomalia nimeshajua wewe ni mwanamke wa namna gani,kama umeolewa basi mumeo ni bwege fulani hivi unampelekesha tu utakavyo.Kwa ujinga wako huu hutopata Mwanamke wa kuishi nae
Ni historia ndefu mkuu,nilikuja kujua baadaye baada ya kumuoa na tayari tuna mtoto,nilichokuwa najua mtoto alikuwa wa marehemu mume wake,kumbe hata huyo mwanamke alimuoa akiwa na mtoto.Pole, ila wewe ni mjinga. Mara ngapi hapa tunaongelea madhila ya single mothers ?! Ukajifanya kichwa ngumu, haya yako wapit ?!!