Mke na mume tumeleta mashtaka kwenu

Pole, ila wewe ni mjinga. Mara ngapi hapa tunaongelea madhila ya single mothers ?! Ukajifanya kichwa ngumu, haya yako wapit ?!!

Kuoa single mother ni kipimo tosha cha uayawani na utindio wa ubongo.
 
Kosa kubwa ni wewe kuoa mwenye mtoto na baba yake yupo, tulishasema waolewe na wanaowapa mimba Kwa sababu hawakubakwa ni Kwa hiari na mapenz yao hao wenye watoto changamoto sana kwenye mahusiano Hapo sio wote, changamoto za singomazas

1. Kuendelea kuwasiliana na wazazi wenzao licha ya kujifanya hawawataki kwakuwa wametelekezwa mwisho huishia kupasha kiporo na kuna mazingira unaweza kujikuta unaendelea kulea watoto sio wako.

2. Mapenzi yao kuegemea Kwa watoto wao, ukitakiwa kuwagusa au kuwarekebisha ugomvi mkubwa hiyo ya ukraine cha mtoto
 
Yaani kuna watu wanadhani kuna umri maalum wakuoa haina formula hyo ndoa unaweza ukawahi ukachelewa na unaweza ukachelewa ukawahi
 
Yaani umelipenda boga halafu hulitaki ua lake...acha wivu wa kishamba, huwezi kumzuia mwanamke asiwasiliane na mzazi mwenzake
 
Ndio,ila sikumwambia aende moja kwa moja kwa mzazi mwenzake nilimwambia aende kwa dada yake jamaa
Wewe kinachokusumbua ni wivu na kwa akili zako utavunja ndoa yako endelea kusoma comments za wenzio wanao kupa bichwa hutaki mawasiliano lea huyo mtoto kisha weka masharti hakuna mawasiliano yoyote
 
Wewe kinachokusumbua ni wivu na kwa akili zako utavunja ndoa yako endelea kusoma comments za wenzio wanao kupa bichwa hutaki mawasiliano lea huyo mtoto kisha weka masharti hakuna mawasiliano yoyote
Hata nikivunja sawa tu sijazeeka bado,badala ya mimi kulea mtoto wao itabidi yeye akalee watoto wangu na huyo mwanaume.
Na kama ulikuwa hujui daima palipo na upendo pana wivu.
 
Wewe ndio mwenye shida
 
Hata nikivunja sawa tu sijazeeka bado,badala ya mimi kulea mtoto wao itabidi yeye akalee watoto wangu na huyo mwanaume.
Na kama ulikuwa hujui daima palipo na upendo pana wivu.
Acha roho ya ubaguzi wewe eti mtoto wao ulipo muoa hukujua hilo au umemchoka una mtafutia sababu halafu Mwanamke anaweza asiwe na mtoto na akapasha kiporo kwa Ma ex zake wote .
 
Yaani umelipenda boga halafu hulitaki ua lake...acha wivu wa kishamba, huwezi kumzuia mwanamke asiwasiliane na mzazi mwenzake
Nimeshamruhusu awe awasiliana naye,ila tutakuwa tufanya tendo la ndoa kwa condom tu,wewe endelea kuniita mshamba ila maamuzi yangu ndio hayo.
 
Nimekupata mkuu,ndio maana nimeamua kutumia condom kwa kuogopa maradhi na watoto wa kupakaziwa.
 
Na huyo Mwanamke kama ana soma hapa bora akuache unaonekana ni aina ya Mwanaume mwenye roho mbaya na wivu wa kipumbavu jumlisha gubu la kijinga.
Wewe ulishawahi kuachana na wenye gubu kama mimi,au unajua tu kutoa ushauri?
 
Pole, ila wewe ni mjinga. Mara ngapi hapa tunaongelea madhila ya single mothers ?! Ukajifanya kichwa ngumu, haya yako wapit ?!!

Kuoa single mother ni kipimo tosha cha uayawani na utindio wa ubongo.
Ni historia ndefu mkuu,nilikuja kujua baadaye baada ya kumuoa na tayari tuna mtoto,nilichokuwa najua mtoto alikuwa wa marehemu mume wake,kumbe hata huyo mwanamke alimuoa akiwa na mtoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…