MKE: Naomba uninunulie gari, usiponinunulia siku nikija na gari naomba usiniulize nimepata wapi?

Record Man

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2023
Posts
525
Reaction score
876
Habari wanajimii forum. Hii ishu aliipata rafiki yangu mmoja hivi ni ishu ya kweli kabisa.

Jamaa anandoka ya miaka zaidi ya 9 na wamefanikiwa kuwa na watoto. Kusema ukweli mke wake ni mrembo haswa Tena haswa kweli kweli. Anafanya kazi kwenye shirika Moja hapa DSM.

Mume wake anagari ambalo analotumia katika shughuli zake na kwenda ofisini kwao, but mke wake Hana. Na Kila mmoja anatoka home kwa Muda wake. Jamaa anachukua gari anasepa, Kisha mke wake anafuata ,maana anapanda daladala mpk ofisini.
Sometime anapanda mwendo Kasi.

Sasa siku Moja mke wake akamwambia hivi " mume wangu naomba uninunulie gari hata kadogo tuu lolote wewe unalona mimi litanifaa kulitumia sikupangii, ila usipofanya hivyo naomba siku nikija na gari uciniulize nimelitoa wapi naomba sana usiniulize".

Jamaa alishuka kidogo, sasa mwamba anampenda sana mke wake , aliniambia hakumuuliza chochote kile akaamua kumtimizia na mwishowe akafanikiwa kununua Toyota crown Kisha akampatia mke wake tuu kwa ajiri ya kulitumia ila jina ni la mume wake kwenye kadi.

MKE wake akasema Asante ila tuu na mimi nitumie gari kwenda ofisini na shughuli zingine

Walikaa kama wiki 3 Kisha mke wake akaamua kumueleza ukweli mume wake. Alimwambia hivi.

"Mume wangu najua nilikukwanza kwa maneno Yale niliyokwambi na naamini nilikuumiza, naomba unisamee, ila nilisema vile ili uninunulie maana najua uwezo unao, sababu ni hii

"Mimi mke wako kwa jinsi muonekano niliyokuwa nayo, wanaume wengi wananisumbua sana, na wengi wananiona naenda ofisini kwa daladala jua Kali njiani. Na walikuwa wananisubua kwa promise kuwa uwezo kuwa unaenda ofisini bila gari inaitaji gari, sasa ni vishawishi vilikuwa vingi nimeangaika sana, watu still hawaeshimu ndoa za watu. But am sorry kwa maneno Yale niliyokuambia.
Ila mume wangu mimi mke wako nashukuru MUNGU bado ananilinda katika ndoa yangu."

Jamaa baada ya hapo akasema sawa tu nimekuelewa. Waliongea vingi sana na mke wake. Baadae waliyamaliza ila.

Vipi wewe yamewahi kukuta haya.
 
Maneno aliyoambiwa jamaa yako ni red flag tosha kuwa anaishi na mwanamke wa aina gani???

Amuombe Mwenyezi Mungu azidi kumbariki kiuchumi ,, aendelee kuwa na maisha mazuri maana siku atakayo yumba kiuchumi ndo siku atakayo mpoteza huyo mwanamke 😎🤝🏽
 
Habari wanajimii forum. Hii ishu aliipata rafiki yangu mmoja hivi ni ishu ya kweli kabisa.

Jamaa anandoka ya miaka zaidi ya 9 na wamefanikiwa kuwa na watoto. Kusema ukweli mke wake ni mrembo haswa Tena haswa kweli kweli. Anafanya kazi kwenye shirika Moja hapa DSM.

Mume wake anagari ambalo analotumia katika shughuli zake na kwenda ofisini kwao, but mke wake Hana. Na Kila mmoja anatoka home kwa Muda wake. Jamaa anachukua gari anasepa, Kisha mke wake anafuata ,maana anapanda daladala mpk ofisini.
Sometime anapanda mwendo Kasi.

Sasa siku Moja mke wake akamwambia hivi " mume wangu naomba uninunulie gari hata kadogo tuu lolote wewe unalona mimi litanifaa kulitumia sikupangii, ila usipofanya hivyo naomba siku nikija na gari uciniulize nimelitoa wapi naomba sana usiniulize".

Jamaa alishuka kidogo, sasa mwamba anampenda sana mke wake , aliniambia hakumuuliza chochote kile akaamua kumtimizia na mwishowe akafanikiwa kununua Toyota crown Kisha akampatia mke wake tuu kwa ajiri ya kulitumia ila jina ni la mume wake kwenye kadi.

MKE wake akasema Asante ila tuu na mimi nitumie gari kwenda ofisini na shughuli zingine

Walikaa kama wiki 3 Kisha mke wake akaamua kumueleza ukweli mume wake. Alimwambia hivi.

"Mume wangu najua nilikukwanza kwa maneno Yale niliyokwambi na naamini nilikuumiza, naomba unisamee, ila nilisema vile ili uninunulie maana najua uwezo unao, sababu ni hii

"Mimi mke wako kwa jinsi muonekano niliyokuwa nayo, wanaume wengi wananisumbua sana, na wengi wananiona naenda ofisini kwa daladala jua Kali njiani. Na walikuwa wananisubua kwa promise kuwa uwezo kuwa unaenda ofisini bila gari inaitaji gari, sasa ni vishawishi vilikuwa vingi nimeangaika sana, watu still hawaeshimu ndoa za watu. But am sorry kwa maneno Yale niliyokuambia.
Ila mume wangu mimi mke wako nashukuru MUNGU bado ananilinda katika ndoa yangu."

Jamaa baada ya hapo akasema sawa tu nimekuelewa. Waliongea vingi sana na mke wake. Baadae waliyamaliza ila.

Vipi wewe yamewahi kukuta haya.
Kina namna developing story haijasema before kuna namna mke aliwahi kumsuta mumewe kwa muda gani kuhusu gari kabla ya kutamka hivyo?

Baada ya gari kitafuata kitu kingine maisha ni macho na Giza bila mipaka, there is always next time next episode

Changamoto za kulea mimba hufuatiwa na changamoto za kulea mtoto
 
Habari wanajimii forum. Hii ishu aliipata rafiki yangu mmoja hivi ni ishu ya kweli kabisa.

Jamaa anandoka ya miaka zaidi ya 9 na wamefanikiwa kuwa na watoto. Kusema ukweli mke wake ni mrembo haswa Tena haswa kweli kweli. Anafanya kazi kwenye shirika Moja hapa DSM.

Mume wake anagari ambalo analotumia katika shughuli zake na kwenda ofisini kwao, but mke wake Hana. Na Kila mmoja anatoka home kwa Muda wake. Jamaa anachukua gari anasepa, Kisha mke wake anafuata ,maana anapanda daladala mpk ofisini.
Sometime anapanda mwendo Kasi.

Sasa siku Moja mke wake akamwambia hivi " mume wangu naomba uninunulie gari hata kadogo tuu lolote wewe unalona mimi litanifaa kulitumia sikupangii, ila usipofanya hivyo naomba siku nikija na gari uciniulize nimelitoa wapi naomba sana usiniulize".

Jamaa alishuka kidogo, sasa mwamba anampenda sana mke wake , aliniambia hakumuuliza chochote kile akaamua kumtimizia na mwishowe akafanikiwa kununua Toyota crown Kisha akampatia mke wake tuu kwa ajiri ya kulitumia ila jina ni la mume wake kwenye kadi.

MKE wake akasema Asante ila tuu na mimi nitumie gari kwenda ofisini na shughuli zingine

Walikaa kama wiki 3 Kisha mke wake akaamua kumueleza ukweli mume wake. Alimwambia hivi.

"Mume wangu najua nilikukwanza kwa maneno Yale niliyokwambi na naamini nilikuumiza, naomba unisamee, ila nilisema vile ili uninunulie maana najua uwezo unao, sababu ni hii

"Mimi mke wako kwa jinsi muonekano niliyokuwa nayo, wanaume wengi wananisumbua sana, na wengi wananiona naenda ofisini kwa daladala jua Kali njiani. Na walikuwa wananisubua kwa promise kuwa uwezo kuwa unaenda ofisini bila gari inaitaji gari, sasa ni vishawishi vilikuwa vingi nimeangaika sana, watu still hawaeshimu ndoa za watu. But am sorry kwa maneno Yale niliyokuambia.
Ila mume wangu mimi mke wako nashukuru MUNGU bado ananilinda katika ndoa yangu."

Jamaa baada ya hapo akasema sawa tu nimekuelewa. Waliongea vingi sana na mke wake. Baadae waliyamaliza ila.

Vipi wewe yamewahi kukuta haya.
Unamwambia tu kwamba ukija na gari uende huko huko ukakae kwa aliyekupa.
 
Kwa matamshi hayo mwanamke asijifanye innocent japo mume nae alipaswa kumjali mkewe kwa kumrahisishia usafiri ila asimwamini huyo mwanamke, uwezekano kuwa ana kauhuni ni mkubwa. Katika 100% 98% ni kuwa ana kauhuni. Mwanamke smart angeketi na mumewe waongelee suala la usafiri bila kumpa uhalisia wake kuwa anaweza kusaidiwa majukumu na wengine.
 
20211219_202239.jpg
 
Daah wanaume tunateseka sana kuwafurahisha wanawake, yamkini tunakosea ktk kuchagua, mwisho unakuwa ndani ya ndoa kwa ajili ya kumfurahisha mwanamke tu.
Tuna ujinga fulani tumejiaminisha kuwa mke akitembea nje basi ni aibu kubwa, wenyewe tunaita kugongewa. Wanawake weshajua hilo, wanaitumia vizuri kweli mwishowe tunajifia mapema kwa presha zisizopaswa kuwepo.
 
Back
Top Bottom